Yanga SC 2-0 Wiliete SC CAF Champion League| Magoli yote, wapinzani wao kimataifa, Romain Folz mbinu zajibu
Yanga SC 2-0 Wiliete SC CAF Champion League ni ushindi wa pili mfululizo kwenye mashindano makubwa Afrika. Wananchi wanasonga mbele hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika,(CAF). Baada ya kufuzu…
Young Africans SC vs Wiliete SC CAFCL 27 Sept 2025: live score, Takwimu, vikosi, H2H, Utabiri
Safari ya kuisaka hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea wikiendi hii. Kwa upande wa Tanzania Yanga SC na Simba SC zitashuka uwanjani wikiendi hii. Wananchi, baada ya…
Simba SC 3-0 Fountain Gate FC | Rushine afungua akaunti ya magoli Uwanja wa Mkapa
Simba SC 3-0 Fountain Gate FC dakika 90 za jasho kwenye kutafuta ushindi. Mbinu za Seleman Matola zilimzidi ujanja Kocha Mkuu wa Fountain Gate FC, Dennis Kitambi. Mchezo huo ulichezwa…
Yanga SC 3-0 Pamba Jiji FC mabingwa waanza kwa kishindo | Kouma, Maxi na Mudathir wafunga
Yanga SC 3-0 Pamba Jiji FC mabingwa waanza kwa kishindo katika mchezo wa kwanza. Dakika 90 za jasho zilichezwa Uwanja wa Mkapa Septemba 24 2025. Kiungo Maxi Nzengeli amechaguliwa kuwa…
Simba SC vs Fountain Gate FC – Live Scores, vikosi, h2h, Takwimu na taarifa mpya
Hatimaye Pazia la mechi za Ligi Kuu ya NBC 2025/26 kwa Simba SC litafunguliwa rasmi kesho Alhamisi Septemba 25, 2025. Hii ni kupitia mchezo mkali wa Simba SC vs Fountain…
Rekodi zinaibeba Yanga SC mbele ya Pamba Jiji FC Septemba 24 | Presha hakuna,mabingwa kazini
Rekodi zinaibeba Yanga SC mbele ya Pamba Jiji FC kuelekea kwenye mchezo wa leo Septemba 24 2025 Uwanja wa Mkapa. Katika mechi mbili 2024/25 Pamba Jiji FC ilipoteza zote kwa…
Kocha mpya Simba SC Hemed Morocco hana presha | Ameanza kazi tayari
Kocha mpya Simba SC Hemed Morocco hana presha kutokana na uzoefu alionao. Morocco ametambulishwa kuwa kocha wa muda ndani ya timu hiyo baada ya Fadlu Davids kusitisha mkataba wake Septemba…
Dembele kushinda Ballon d’Or 2025: Hiki ndicho walichosema Messi, Mbappe, Neymar
Hatimaye usiku wa kuamkia leo Jumanne staa wa PSG, Ousmane Dembélé alitangazwa rasmi mshindi wa Ballon d’Or 2025. Hii ni baada ya staa huyo kuwa na msimu bora akiisaidia kushinda…
SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025 hawa hapa
Kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 14-20 Septemba 2025. Hii…
