- SportPesa imekuandalia ratiba ya mechi zilizobakia za Azam FC kwenye NBC Premier League na CRDB Federation Cup 2025/26
- Matajiri wa Dar wana tarajia kugusa michezo kadhaa kwenye ratiba yao ikiwemo: Yanga SC vs Azam FC, Azam FC vs Mashujaa, Azam FC vs Yanga SC
- Ratiba ya Azam FC ni yakukata na shoka wanatarajiwa kukutana na Yanga SC mara mbili mchezo mmoja katika ligi na mwingine CRDB Federation Cup
Hapa tumekuandalia ratiba ya mechi zilizobakia za Azam FC kwenye NBC Premier League 2025/26 na CRDB Federation Cup. Mechi za Azam FC ni zakukata na shoka kutokana na kupambania kuishusha Simba SC nafasi ya pili na kugombania kombe la CRDB Federation Cup. Bingwa mtetezi wa mataji yote mawili ni Yanga SC hivyo kila mchezo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC :Nusu fainali ya CRDB Federation Cup | SportPesa Blog

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.
Ifahamu ratiba ya mechi zilizobakia za Azam FC NBC Premier League 2025/26

SOMA HII: Azam FC 2025: Mwongozo Kamili Kuhusu Kikosi, Benchi la Ufundi, na Urithi wa Klabu

Hii hapa ratiba ya mechi zilizobakia za Azam FC NBC Premier League. Kuna mchezo mmoja wa CRDB Federation Cup hatua ya nusu fainali. Ikiwa itapata ushindi itakuwa na mchezo mmoja wa kufunga msimu katika fainali.
Fountain Gate FC vs Azam FC, Juni 12, 2026, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Azam FC vs Mashujaa FC, Juni 17, 2026, Uwanja wa Azam Complex
Yanga SC vs Azam FC, Juni 24, 2026, Uwanja wa TBA
Coastal Union FC vs Azam FC, Juni 27, 2026, Uwanja wa Mkwakwani
Azam FC vs Dodoma Jiji FC, Juni 30, 2026, Uwanja wa Azam Complex
Ratiba ya Azam FC CRDB Federation Cup
Yanga SC vs Azam FC, nusu fainali CRDB Federation Cup, Juni 21, 2026, Uwanja wa CCM Kirumba
Funga kazi Azam FC 2025/26

SOMA HII: Azam FC Unbeaten 18 NBC Premier League 2025/26 | Yaikimbizia rekodi ya Yanga SC ligi kuu
Ni mechi 6 zimesalia kwa matajiri wa Dar kufunga kazi ndani ya msimu wa 2025/26. Kwenye mechi hizo ni mbili watakuwa nyumbani huku 4 watakuwa ugenini. Kampeni ya ugenini itaanza Juni 12, 2026 vs Fountain Gate FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Hitimisho
Ratiba ya mechi zilizobakia za Azam FC kwenye NBC Premier League weka mbali na watoto. Mechi inayofuata ni Fountain Gate FC vs Azam FC. Mchezo wa Yanga SC vs Azam FC unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na watakutana mara mbili wababe hawa. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa taarifa za sasa, matokeo na wafungaji.

