skip to Main Content
Wiki Hii SportPesa Watoa Jackpot Bonus Ya 11,049,185/=
Mshindi wa Sportpesa Jackpot bonus Steven Kalinga kutoka Tunduma akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 11,049,185 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita.Jackpot ya wiki hii inayoshindaniwa ni shilingi 686,934,380.

Wiki hii SportPesa watoa Jackpot bonus ya 11,049,185/=

Wiki hii SportPesa watoa Jackpot bonus ya 11,049,185/=

Mkazi wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185.

Akizungumzia usindi wake Juhudy alisema “Ninafuraha kubwa sana kuibuka mshindi kwani kupitia pesa hii itanisaidia kwenye mambo mbalimbali.

“Nilianza kucheza na SportPesa tangu mwaka 2018 hivyo ni miaka mitatu sasa na niliifahamu hii kampuni kupitia rafiki yangu wa karibu. Nilikuwa nikiona akiweka 500/- na kushinda hadi elfu 40 nikashawishika sana na kuamua kuanza kucheza.”

Jackpot Bonus winner

Mshindi wa Sportpesa Jackpot bonus Juston Juhudi Stewart(21) kutoka Bukoba, Muleba akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 11,049,185 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwenye Jackpot ya wiki iliyopita.Jackpot ya wiki hii inayoshindaniwa ni shilingi 686,934,380.

“Ukiachilia ushindi huu mkubwa tangu nianze kucheza nimewahi kushinda pesa kupitia ubashiri wa mechi moja moja lakini pesa kubwa niliyowahi kushinda ni shilingi 7700 tu.”

“Sikuwahi kukata tamaa hata siku moja kwenye kubashiri nikiamini ipo siku nitashinda Jackpot ndipo nilipoanza kuweka mikeka miwili au mitatu kwa Jackpot moja na kushinda hii bonus hatimae imekuwa hivi”

“Mipango niliyonayo na pesa hizi ni mikubwa ikiwemo kununua viwanja nyumbani ili niweze kuwekeza, kufungua biashara ya nguo ambayo itaniendeshea maisha yangu ya kila siku na kuniingizia kipato na la mwisho kabisa ni kufunga ndoa.”

Mshindi mwingine aliyepatikana ni Steven Kayinga kutoka Tunduma ambaye ameshinda kiasi hicho hicho cha fedha na mshikilize hapa chini.

Akizungumza upande wa SportPesa Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti Tarimba Abbas alisema hii ni vizuri sana kuona tunaweza kubadili maisha ya vijana wadogo na kuinua kipato chao.

 

Kupitia Sportpesa tumeendelea kuwazawadia wateja wetu zawadi mbalimbali na ndio maana hata kwa wanaobashiri jackpot na wakapatia kwa usahihi kuanzia mechi 10 basi watabata bonus za viwango mbalimbali kulingana na ubashiri wao”

“Napenda kutoa rai kwa vijana kushiriki katika michezo mbalimbali maana kubet sio uhuni bali inahitaji uelewa wa michezo na ufatiliaji pia ili uweze kupatia ubashiri wako”

Sportpesa imeendelea kutoka washindi mbalimbali kupitia Jackpot yake ambayo inaongezeka kila wiki.

Bet Jackpot ya wiki hii hapa upate nafasi ya kujishindia shilingi 686,934,380.

Share this:
Back To Top