Daktari Mwanza ashinda Tsh.49,041,581 Jackpot Bonus Ya SportPesa.
Mkazi wa Buhongwa, wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza, Anicet Clavery Macheta ameshinda shilingi 49,041,581 katika Jackpot Bonus ya Sportpesa iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13. Akizungumza baada ya makabidhiano…