Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions’ League group stage January 31/ Highlights, goal
Yanga SC 1-1 Al Ahly CAF Champions League ni matokeo rasmi mchezo wa leo. Ibrahim Bacca alifunga goli lakuongoza dakika ya 45. Kipindi cha pili Al Ahly walifunga goli lakuweka…
Simba SC vs Esperance Tunis CAF Champions League kisasi kitalipwa? H2H, standings, lineups
Baada yakupoteza mechi tatu mfululizo swali kubwa ni Simba SC vs Esperance Tunis CAF Champions League kisasi kitalipwa? Majibu yatapatikana kesho Februari Mosi 2026, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.…
Young Africans vs Al Ahly: CAFCL: Live Score, h2h, lineups, utabiri, Habari za timu
Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, yataendelea tena kutimua vumbi wikiendi hii. Kati ya michezo mikubwa inayosubiriwa ni ule wa Young Africans vs Al Ahly.…
AFCON 2025 sanctions: Senegal, Morocco zapewa adhabu nzito na CAF Hakimi, Ndiaye wafungiwa
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kupitia Kamati yake ya nidhamu limechukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya timu ya Taifa ya Senegal na Morocco na mastaa wao. Hii ni baada…
Simba SC 2-0 Mashujaa FC Ligi Kuu Bara NBC: Mnyama afufuka! Highlits,Matokeo, Ratiba
Baada ya kupitia kipindi kigumu, ikiwemo vipigo vitatu mfululizo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatimaye mnyama amefufuka! Hii ni baada ya kuibuka na ushindi katika mchezo…
Usajili wa Simba SC dirisha dogo balaa! Gueye, Kibabage, Loemba
Kwenye usajili wa Simba SC dirisha dogo balaa! Jumla ni nyota 7 watakuwa chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker. Lengo la timu hiyo ni kurejea kwenye makali baada ya kutokuwa…
Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC NBC Premier League/ Highlights, stats
Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC ni matokeo rasmi Tanzania Premier League. Walima zabibu walianza kufunga goli kupitia kwa William Edger dakika ya 42. Mshambuliaji wa Yanga SC, Depu alifunga…
Simba SC vs Mashujaa FC Ligi Kuu Bara NBC: Matokeo, Ratiba, Live score, H2H, lineups, Habari za timu
Baada ya kupokea kipigo cha tatu mfululizo kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Mnyama amerejea nchini kujiandaa na mchezo ujao wa Simba SC vs Mashujaa FC. Mchezo…
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League Januari 27,2026/ Live score, lineups
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC Tanzania Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba. Januari 27,2026 wababe hawa watakutana Uwanja wa KMC Complex. Saa 1:00 usiku Jumanne dakika 90 za…
