SUPA JACKPOT BONUS YAENDA MOSHI-Ni Tsh 9, 260,274
Mkazi wa Moshi mjini, Geofrey Damas Sindato kutoka Moshi, mkoa wa Kilimanjaro, wiki iliyopita alijishindia kitita cha Tshs 9, 260, 274 kama bonus ya Jackpot ya mwisho wa wiki, baada ya kubashiri na kupatia kwa usahihi mechi 14 kati…