MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED- Fainali ya Kombe la FA ya kibabe
Leo Juni 3,2023 katika dimba la Wembley jijini London utapigwa mchezo wa Fainali ya Kombe la FA ikizikutanisha timu za Manchester City na Manchester United. Hii ni Fainali ya ya watani wa jadi ambao wanakutana katika hatua katika hatua kama…