SportPesa-Goal-Rush-Washindi-wa-wikiSportPesa-Goal-Rush-Washindi-wa-wiki
  • Goal Rush mchezo kutoka Kampuni ya SportPesa, umezidi kutoa mamilioni ya ushindi, ambapo kila siku Watanzania wametabasamu.
  • Dau kabambe la ushindi wa shilingi Millioni 100, bado lipo ambapo mshiriki anaweza kushinda.
  • SportPesa Goal Rush Washindi 14-20 Septemba 2025 wiki hii wachezaji wengi zaidi wameshiriki na washindi wameshinda mamilioni.

Kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa furaha imezidi kumwagika kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya 14-20 Septemba 2025. Hii ni kupitia ubashiri wa kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa, watu wameendelea kushinda mamilioni. Tumeshuhudia msisimko wa soka, ukiendelea mara baada ya ligi mbalimbali kurejea, huku mashabiki wetu wakithibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Kumbuka unaweza kuwa mshindi mpya wa mamilioni ya SportPesa muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kucheza kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

SEO Banner LV

SportPesa Goal Rush ni nini?

Kumbuka mchezo wa Goal Rush ni mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka ambao unazidi kuwa maarufu nchini Tanzania. Mchezo huu unahitaji kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha uwezo wao kwa kubashiri matokeo sahihi.

SOMA HII PIA: Kijana wa Miaka 23 Ajinyakulia TZS 100,000,000 ya Sportpesa Goal Rush!

SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025 washindi wanapata zawadi gani?

Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya fedha kuanzia maelfu hadi mamilioni ya shilingi kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?

SOMA HII PIA: SportPesa Goal Rush washindi Septemba 7-12, 2025 hawa hapa

Jumamosi: Shamrashamra Saturday

GR-Shamra-Shamra---th-Sept

Jumapili: Vibe la Sunday

GR-Vibe-La-Sunday---th-Sept---
GR-Vibe-La-Sunday---th-Sept---

Jumatatu: Mkwanja Monday

GR-Mkwanja-Monday---th-Sept----
GR-Mkwanja-Monday---th-Sept

Jumanne: Tajiri Tuesday

GR Tajiri Tuesday --th---

Jumatano: Zali Day Wednesday

GR Zali Day Wednesday --th Sept---
GR Zali Day Wednesday --th Sept---

Alhamisi: Maokoto Thursday

GR-Maokoto-Thursday---th-Sept

Ijumaa: Faidika Friday

SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea SportPesa Goal Rush washindi 14-20 Septemba 2025 mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!

Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri

SportPesa ushindi upo nawe !!

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.