Simba SC: Latest Results, Fixtures, Standings, Squad and Next Match
Simba SC Overview Club name Simba Sports Club Common name Simba SC Short name SSC Founded 1936 Base Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania Nickname Wekundu wa Msimbazi (The Red…
Simba SC Overview Club name Simba Sports Club Common name Simba SC Short name SSC Founded 1936 Base Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania Nickname Wekundu wa Msimbazi (The Red…
Uongozi wa Simba wabainisha namna utakavyopata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kimataifa dhidi ya Al Ahly Viingilio vyawekwa wazi kuelekea mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Mkapa Machi…
Ligi Kuu ya Tanzania bara inakaribia kumalizika ambapo kesho Juni 6 pamoja na Ijumaa Juni 9,2023 timu zote 16 zitashuka dimbani kusaka ushindi ambao unaweza kubadili msimamo lakini pia kuboresha…
Nusu fainali ya kwanza ya Klabu bingwa Afrika inanguruma leo Jumamosi ya Mei 13,2023 ambapo majira ya saa 4 usiku katika uwanja wa Stade Mohammed V, mabingwa mara 3, Wydad…
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, NBC Premier League bara inaendelea leo Ijumaa kwa mechi kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu shooting, wakati KMC watawavaa Singida Big Stars. Mchezo wa…
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefikia hatua ya nusu fainali ambazo zinahusisha vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara Azam FC, Simba SC, Yanga SC…
Hatma ya Simba kuandikisha rekodi ya kufuzu kucheza nusu fainali ya Klabu bingwa Afrika itafahamika Ijumaa hii katika dimba la mfalme wa 5 huko nchini Morocco, itakapoumana dhidi ya mabingwa…
Siku ya kesho katika dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es salaam, kuanzia majira ya saa 10 kamili Jioni, kwa saa za Afrika Mashariki utapigwa mchezo wenye hadhi kubwa, wa…
Usiku wa deni haukawii kucha, unaweza kusema baada ya tambo za muda mrefu vitendo ndivyo vinavyosubiriwa ndani ya Uwanja, ambapo siku ya kesho, Jumapili ya Aprili 16,2023 mashabiki na wapenzi…