Rasmi Fadlu Davids ameondoka Simba SC | Mrithi wake, Matola majanga, Yanga SC mwiba
RASMI Fadlu Davids ameondoka Simba SC kwa kusitisha mkataba wake. Awali ilikuwa ni tetesi ambazo tuliziripoti mapema zimetimia Septemba 22 2025. Licha ya jitihada kubwa kufanyika kwa viongozi kubaki na…
Yanga SC vs Pamba Jiji FC Septemba 24 | Vikosi, H2H, utabiri, milioni 15 zakunjwa
Yanga SC vs Pamba Jiji FC mchezo wa kwanza kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC 2025/26. Timu hizi mbili zinakwenda kukutana rekodi zikionyesha kuwa msimu wa…
Kocha Fadlu Davis kuondoka Simba SC? Utata waibuka! Simba watoa tamko hili
Achana na ushindi mwembamba ambao wameupata dhidi ya Gaborone United kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa ambayo imekuwa gumzo kubwa kutoka unyamani ni je, kocha Fadlu Davis kuondoka Simba SC?…
Simba SC 1-0 Gaborone United CAF Champion League | Goli la Ellie Mpanzu, kadi nyekundu
Simba SC 1-0 Gaborone United CAF Champion League baada ya dakika 90 kukamilika ugenini. Goli pekee kwenye mchezo wa leo limefungwa na nyota Ellie Mpanzu dakika 15. Licha ya Gaborone…
Manchester United vs Chelsea ‘live’: h2h, Vikosi, Muhtasari, Amorim kufukuzwa kazi?
Presha inazidi kupanda kwa kocha mkuu wa Man United, Ruben Amorim. Hii ni kutokana na mchezo mgumu ambao unaweza kuamua hatima yake, mechi ya Manchester United vs Chelsea. Ikumbukwe ushindi…
Gaborone United Vs Simba SC: ‘Live’ CAF Champions League 2025, Botswana
Usiku wa leo Jumamosi, jiji la Francistown, Botswana linatarajiwa kuwaka moto. Hii ni kufuatia mechi kali wa Ligi ya Mabingwa Afrika ‘Caf Champions League’ ya Gaborone United vs Simba SC.…
CAF Confideration Cup mbili kutoka Tanzania kazini Septemba 20 | Vikosi vya Azam FC na Singida Black Stars
Kimataifa hakupoi ni mwendelezo wa dakika za msako wa ushindi Septemba 20 2025. Simba SC ya Tanzania ipo kwenye CAF Champion League. Klabu ya Azam FC na Singida Black Stars…
Wiliete SC 0-3 Yanga SC CAF Champions League 2025 | Magoli yote, takwimu muhimu, super sub
Wiliete SC 0-3 Yanga SC ushindi mnono kwa wawakilishi wa Tanzania wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa 11 de Novembro Septemba 19 2025. Ushindi…
12 Masks of Fire Drum Frenzy slot review: Sportpesa Tanzania
12 Masks of Fire Drum Frenzy is a thrilling online slot that combines fiery visuals with heart-pounding features. If you’re a fan of high-energy slots with multiple bonus levels and…
