JKT Tanzania vs Singida Black StarsSingida Black Stars
  • Hapa tumekuletea ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars kwenye NBC Premier League 2025/26
  • Chui kutoka Singida anatarajia kuwa na mechi kali kwenye ligi ikiwemo: JKT Tanzania vs Singida Black Stars, Simba SC vs Singida Black Stars, Fountain Gate FC vs Singida Black Stars.
  • Ratiba ya Singida Black Stars ni moto wa kuotea mbali inapambania kumaliza katika nafasi nne za juu

Leo tumekuandalia ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars kwenye NBC Premier League 2025/26. Mechi za Singida Black Stars ni 5 zimebaki kufunga msimu. Mchezo ujao kwenye ni JKT Tanzania vs Singida Black Stars, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo, Juni 13, 2026.

SOMA HII: Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC | Takwimu za mchezo | NBC Premier League msimamo |h2h

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Kamata ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars NBC Premier League 2025/26

ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars
Nyota wa Singida Black Stars.

SOMA HII: Ratiba ya Simba SC mwezi huu wa 6, 2026 | Ligi Kuu NBC na CRDB Federation Cup, Takwimu |Mechi 6 za kufa na kupona | SportPesa Blog

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Mzunguko wa pili unakwenda kukamilika na hapa tumekuletea ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars NBC Premier League 2025/26. Wababe hawa wanatumia Uwanja wa Airtel kwa mechi za nyumbani. Mchezo uliopita ilikuwa Singida Black Stars 4-1 Mbeya City, Mei 26, 2026.

TareheMechiUwanja
13 Juni 2026JKT Tanzania vs Singida Black StarsMeja Jeneral Isahmuyo
17 Juni 2026Singida Black Stars vs Dodoma Jiji FCAirtel
24 Juni 2026Singida Black Stars vs Tanzania PrisonsAirtel
27 Juni 2026Simba SC vs Singida Black StarsKMC Complex
30 Juni 2026Fountain Gate FC vs Singida Black StarsSheikh Amri Abeid

Simba SC vs Simba SC hii inatajwa kuwa mechi kali zaidi

Kwenye mechi 5 zilizobaki Simba SC vs Singida Black Stars inatajwa kuwa kali zaidi kutokana na uwekezaji wa timu zote. Mzunguko wa kwanza ubao ulisoma Singida Black Stars 1-2 Simba SC. Je mzunguko wa pili matokeo yatakuaje? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa na matokeo ya hivi punde.

SOMA HII:Ligi Kuu Bara 2025/26 ratiba ya mechi kali| Matokeo, msimamo | SportPesa Blog

Hitimisho

Ukitazama ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars NBC Premier League hakuna mechi nyepesi hata kidogo. Hii inatokana na ushindani uliopo huku Chui akiwa nafasi ya 4 anapambana na JKT Tanzania kutafuta tiketi ya kimataifa. Je atashushwa ama atabaki hapo?

Share this: