Congo Brazzaville vs Tanzania wagawana pointi mojamoja kufuzu Kombe la Dunia 2026| Highlights, H2H, magoli, vikosi
Congo Brazzaville vs Tanzania wametoshana nguvu kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 wakifungana bao 1-1. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Alphonce Masamba Debat Septemba 5 2025. Dakika…
Wiki ya Mwananchi Septemba 12 2025 tunapiga kichwani tu | Matukio muhimu, burudani, wachezaji wapya
Wiki ya Mwananchi Septemba 12 2025 tunapiga kichwani tu ni slogan mpya ya Yanga SC msimu wa 2025/26. Msimu wa 2024/25 slogan ilikuwa ni wewe huogopi? Katika Wiki ya Mwananchi,…
SportPesa Tanzania casino player wins TSh 46,260,000 from TSh 15,000 stake on Gem Fire Fortune
What is Gem Fire Fortune and how this casino player made over 46M Gem Fire Fortune is a Pragmatic Play’s online casino slot game. Shimmering gemstones adorn the 7×7 grid,…
Usajili mpya Simba SC 2025/26 gumzo | Wachezaji wawili tegemeo watambulishwa | Orodha kamili
Usajili mpya Simba SC 2025/26 ni gumzo kutokana na kubeba wachezaji wawili nguzo ndani ya JKT Tanzania. Awali ilikuwa ni tetesi na mwisho zimekamilika kwa wachezaji hao tegemeo kutangazwa. Ni…
Bulgaria vs Spain 4/9/2025: Vikosi, h2h, utabiri, Habari za timu
Bulgaria na Spain kesho Alhamisi, wanatarajia kufungua mechi zao za kufuzu kuelekea Kombe la Dunia la FIFA 2026. Hii ni kwa ukanda wa UEFA katika kundi gumu E, linalowajumuisha pia…
Alexander Isak atua Liverpool: Avunja rekodi ya uhamisho Premier League, kwa £130m
Yametimia! Ndivyo unavyoweza kusema hii ni baada ya taarifa kutoka England kuthibitisha, Alexander Isak atua Liverpool kwa ada ya uhamisho inayovunja rekodi. Mshambuliaji huyo mashuhuri wa Swedeni aliyezaliwa Septemba 21,…
Jezi mpya Simba SC 2025/26 uzinduzi Agosti 31, 2025 wafana | Serikali yatoa maagizo mazito
Jezi mpya Simba SC 2025/26 zimezinduliwa kwa kishindo na mwitikio mkubwa wa mashabiki. Uzinduzi huo umeacha historia ukiwa ni tofauti na msimu wa 2024/25 walipozindulia Mikumi. Agosti 31 2025 uzinduzi…
Simba Day 2025 ni Simba SC vs Gor Mahia FC: highlight, vikosi, h2h, Ubaya Ubwela Part 2 moto utawaka!
Mambo yameiva ndani ya Simba SC, huku wakijiandaa kwa tukio kubwa la uzinduzi wa jezi zao mpya Jumapili hii. Uongozi wa Simba SC nao umeweka wazi rasmi klabu ya Gor…
CHAN 2024: Morocco yaifunga 3-2 Madagascar fainali Agosti 30 | Takwimu muhimu, H2H, tuzo, vikosi
CHAN 2024 Morocco yaifunga 3-2 Madagascar fainali Agosti 30 2025. Safari ndefu ya kumsaka bingwa mpya imefika tamati huku Morocco akiwa ni bingwa mpya anafikisha jumla ya mataji matatu ya…
