Mshindi Bet Bonanza aelezea furaha yake ya ushindi wa 15,888,000/-
Mshindi wa droo ya mwsiho na kubwa ya Bet Bonanza ya Sportpesa George Jafari Kimaro, leo asubuhi alifika katika ofisi za Sportpesa kujitambulisha rasmi na pia kuzungumza nasi kuhusiana na ushindi wake huo na kutuelezea machache kumhusu yeye. Akiongea ndani…