Simba SC 2-0 Gor Mahia Uwanja wa Mkapa | Makombe yaahidiwa | Wafungaji magoli, highlights
Simba SC 2-0 Gor Mahia ni matokeo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ushindi mkubwa kwa Simba SC Septemba 10 2025 ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya 2025/26.…
Yanga Day Septemba 12 2025 orodha ya wachezaji wapya watakaotambulishwa | Zuchu, Meja kunogesha
Yanga Day Septemba 12 inasubirwa kwa shauku kubwa na mashabiki. Hili ni tamasha maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi msimu wa 2024/25. Kwenye…
Simba Day Septemba 10 2025 fullhouse mapema | Matukio yalibamba
Simba Day 2025 Septemba 10 2025 ni mwendo wa soldout. Mashabiki wamenunua tiketi zote ikiwa ni siku mbili kabla ya tamasha kubwa Uwanja wa Mkapa. Hii inamaanisha itakuwa ‘FullHouse’ ndani…
Simba SC vs Gor Mahia FC: Simba Day 2025 Highlight, vikosi, h2h, video ya Mbosso kuanguka yashtua
Mambo yameiva ndani ya Simba SC, ambapo kesho Jumatano Septemba 10, 2025 wanatarajia kufanya tamasha kubwa la Simba Day. Pamoja na burudani nyingine mechi kali ya Simba SC vs Gor…
Yanga Day imepamba moto | Orodha ya wachezaji wapya wanaosubiriwa kutambulishwa Septemba 12 2025
Yanga Day ni Septemba 12 ikiwa ni Wiki ya Mwananchi. Zimebaki siku 2 tukio hilo kubwa likamilike. Hili ni tamasha maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya na wale…
Yanga SC vs Simba SC Septemba 16 | Siku 6 zimebaki | Joto linazidi kupanda
Yanga SC vs Simba SC wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa zimebaki siku 6 wababe hawa kukutana. Joto linazidi kupanda kila mmoja akivutia kwake. Ni mchezo wa kwanza unaoashiria kufunguliwa kwa…
Yanga SC vs Bandari FC Septemba 12: Kuelekea Wiki ya Wananchi Wadhamini watoa tamko zito
Huku ukisubiriwa mchezo mkali kati ya Yanga SC vs Bandari FC Septemba 12 kwenye kilele cha wiki ya wananchi, Makampuni wadhamini wa Yanga SC wameungana. Pamoja na mambo mengi ambayo…
Mkutano mkuu wa Yanga SC 2025: Mambo 10 yaliyotikisa ‘Super Dome’ leo
Stori kubwa kwenye anga za michezo leo Septemba 7, 2025 ni kuhusu Mkutano mkuu wa Yanga SC 2025. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa kisasa wa Super Dome, uliopo Masaki,…
SportPesa Goal Rush washindi Agosti 30-5 Septemba, 2025 hawa hapa
Watanzania wameendelea kupata tabasamu kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush, ambapo tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya Agosti 30-5 Septemba, 2025. Hii…
