ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SCA- Okello
  • SportPesa Blog imekuandalia ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC kwenye NBC Premier League 2025/26.
  • Wananchi wana michezo inayofuata kwenye ratiba yao ya ligi kuu ya bara ikiwemo; Yanga SC vs Singida Black Stars, Yanga SC vs Namungo FC, Mashujaa FC vs Yanga SC.
  • Ratiba ya Yanga SC ina mechi ngumu huku wakiwa kwenye kibarua cha kutetea taji la NBC Premier League.

Hapa tumekuandalia ratiba ya Yanga SC kwa mechi zilizobakia ndani ya mashindano ya NBC Premier League. Mechi za mabingwa watetezi sio nyepesi kutokana na kila timu kuhitaji pointi 3 muhimu. Ahmid Moallin Kocha Mkuu wa timu hiyo amesema : “Tunamechi ngumu mbele yetu, tutafanyia maboresho makosa yaliyopita ili kuwa bora zaidi,”.

SOMA HII: Deal done! Roman Folz ‘out’, kocha mpya Yanga SC huyu hapa

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Ijue ratiba ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC kwenye NBC Premier

ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC
Dube Prince mshambuliaji wa Yanga SC

Kazi inaendelea huku ratiba ya mechi zilizobakia za Yanga SC kwenye NBC Premier League. Tazama ilivyo ramani kwa wababe hao kutetea taji la ligi. Dar Derby inatarajiwa kupigwa Juni 24, 2026.

SOMA HII: Yanga SC bingwa NMB Mapinduzi Cup 2026 kwa penati 5-4 Azam FC/ Highligts, stats

SportPesa Aviator Challenge
TareheMechiUwanja
Mei 22, 2026Yanga SC vs Singida Black StarsKMC Complex
Mei 25, 2026Yanga SC vs Namungo FCKMC Complex
Juni 13, 2026Mashujaa FC vs Yanga SCLake Tanganyika
Juni 17, 2026Fountain Gate FC vs Yanga SCSheikh Amri Abeid
Juni 24, 2026Yanga SC vs Azam FCKMC Complex
Juni 27, 2026Yanga SC vs TRA UnitedKMC Complex
Juni 30, 2026JKT Tanzania vs Yanga SCMeja Jeneral Isamuhyo
  Mechi zilizobaki :7 Nyumbani-4 ugenini-3
Ratiba ya mechi za Yanga SC
Zimbwe Jr beki wa Yanga SC.

Yanga SC imebakiza mechi 7 kukamilisha msimu wa 2025/26. Katika michezo hiyo nyumbani ana mechi 4 na ugenini mechi 3. Mchezo wa mwisho itakuwa ugenini dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.

SOMA HII: Matokeo ya Muungano Cup 2026 |Wafungaji vinara | Man of The Match

Hitimisho

Kwenye ratiba ya Yanga SC kwa mechi zilizobakia ndani ya mashindano ya NBC Premier League hakuna mnyonge. Michezo ya lala salama imekuwa na maajabu mengi. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa na matokeo zaidi.

Share this: