Mashujaa FC (0) vs Simba SC (3) NBC Premier League | Highlights, goal, h2h | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

May 14, 2026
Coastal Union vs Simba SCClatous ChotaClatous Chota
  • FT: Mashujaa FC (0) vs Simba SC (3) NBC Premier League Mei 14, 2026 Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
  • Clatous Chama amefunga magoli mawili na Seleman Mwalimu amfunga goli moja
  • Mashujaa FC imecheza mechi mbili na Simba SC

Mwisho wa reli Kigoma Mashujaa FC (0) VS Simba SC NBC Premier League matokeo rasmi mchezo uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Clatous Chama alianza kujiamulia mambo mapema dakika ya 5 kwa goli la kona iliyojaa nyavuni na dakika ya 70 akafunga. Seleman Mwalimu alifunga goli la tatu dakika ya 90+2. Huu unakuwa ushindi mkubwa wa kwanza kwa mnyama ugenini dhidi ya Sokwe.

SOMA HII: Ratiba ya mechi zilizobakia za Simba SC kwenye NBC Premier League 2025/26 | SportPesa Blog

Je, Unataka kushinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege kupitia kampuni bora ya kubashiri ya SportPesa. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

Mashujaa FC (0) VS Simba SC NBC Premier League vita ya ubingwa inaanza upya

 Mashujaa FC (0) VS Simba SC NBC Premier
Chama vs Mashujaa FC NBC Premier League

Baada ya ubao kusoma Mashujaa FC (0) VS Simba SC NBC Premier League vita ya ubingwa inaanza upya kutokana na tofauti ya pointi mbili kubaki dhidi ya vinara. Mnyama anafikisha jumla ya pointi 52 nafasi ya pili huku vinara Yanga SC wakiwa na pointi 54. Watani hawa wote wamebakiwa na mechi 7 kukamilisha msimu wa 2025/26.

SOMA HII: Taarifa mpya baada ya Simba SC kushinda dhidi ya Coastal Union (2-0) | Highlights, msimamo, h2h | Clatous Chama

SportPesa Aviator Challenge

H2H Mashujaa FC vs Simba SC

 Mashujaa FC (0) VS Simba SC NBC Premier
Lake Tanganyika, Kigoma
TareheMechiMatokeo
03/02/2023Mashujaa FC vs Simba SC0-1
15/03/2024Simba SC vs Mashujaa FC2-0
01/11/2024Mashujaa FC vs Simba SC0-1
02/05/2025Simba SC vs Mashujaa FC2-1
29/01/2026Simba SC vs Mashujaa FC2-0
14/05/2026Mashujaa FC vs Simba SC0-3

Mnyama amepata ushindi kwenye mechi zote 6 walizokutana na Mashujaa FC NBC Premier League. Matokeo ya leo Mei 14, 2026 yanavunja rekodi ya ushindi mkubwa. Sokwe ni goli moja amefunga mbele ya mnyama.

SOMA HII: Ishu ya Chama kurudi Simba SC ukweli huu hapa! Kipa mpya atambulishwa: Tetesi za usajili mpya Ligi Kuu Bara 2025/26

Hitimisho

Ni Mashujaa FC (0) vs Simba SC NBC Premier League yanachangamsha upya kazi ndani ya ligi. Wababe wawili tofauti yao kwa sasa ni pointi mbili kutoka 5 za awali.Je nani atakuwa bingwa ndani ya ligi? Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this: