Dodoma Jiji FC (3) vs Yanga SC (2) matokeo ya NBC Premier League | Unbeaten imevunjwa Airtel, highligts | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

May 13, 2026
Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SCWazir JrWazir Jr
  • Ni Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC matokeo ya NBC Premier League 2025/25, Uwanja wa Airtel
  • Wazir Jr wa Dodoma Jiji FC ameibuka shujaa kwa kufunga goli la ushindi dakika za lala salama
  • Licha ya Allan Okello kufunga magoli mawili rekodi ya Ubeaten imevunjwa kwa Yanga SC
  • SportPesa Blog inakuletea matokeo ya Dodoma Jiji FC vs Yanga SC leo Mei 13, 2026

Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC matokeo ya NBC Premier League 2025/26. Huu ni mchezo wa kwanza Yanga SC rekodi ya ‘Unbeaten’ ikivunjwa ugenini. Mabingwa watetezi walikuwa wamecheza jumla ya mechi 22 mfululizo bila kufungwa. Huu ni mchezo wa 23 ndani ya ligi namba 6 kwa ubora Afrika.

SOMA HII: Yanga SC: Historia, Usajili wote, kikosi, Ratiba, Matokeo na Takwimu

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

FT:Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC NBC Premier League

Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC
Okello na Mudathir

Rekodi imeandikwa Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC NBC Premier League. Magoli ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na Bakari Nondo ambaye alijifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta dakika ya 90 na Wazir Jr dakika ya 90+7. Magoli yote ya Yanga SC yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 42.

Wananchi wanasalia nafasi ya kwanza wakiwa na pointi 54 huku Dodoma Jiji FC ikipanda kutoka nafasi ya 8 mpaka ya 7 pointi 32 kibindoni. Zote zimecheza mechi 23 kwenye ligi. Wazir Jr mfungaji wa goli la ushindi aliwahi kuwa mchezaji wa Yanga SC hivyo amewaadhibu waajiri wake wa zamani.

SOMA HII: Wachezaji wanne wa Yanga SC warejea kazini | Taarifa mpya kuhusu Depu, ratiba 2025/26

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Hitimisho

Dodoma Jiji FC (3) vs (2) Yanga SC NBC Premier League dakika 90 zimeamua. Rekodi zimewakataa wananchi mara baada ya kupoteza ugenini. Magoli mawili dakika za jioni yametibua rekodi za mabingwa watetezi.

Share this: