KATI YA YANGA, SIMBA, AZAM NA SINGIDA BS Nani kuvuna Nini Kwenye Ligi ya NBC Kesho
Ligi Kuu ya Tanzania bara inakaribia kumalizika ambapo kesho Juni 6 pamoja na Ijumaa Juni 9,2023 timu zote 16 zitashuka dimbani kusaka ushindi ambao unaweza kubadili msimamo lakini pia kuboresha…
Furahia Michezo ya Kasino ya soka VIRTUAL PRO, KNOCKOUT FOOTBALL RUSH na mingine mingi
Ikiwa tunaelekea kumaliza msimu ambapo ligi za soka nyingi zinafikia tamati, SportPesa tumekuletea new experience ya kwenye Kasino ya mtandao kwa kutambulisha bidhaa zinazoendana na wapenda mpira. Kwetu sisi SportPesa…
JE YANGA KUCHUKUA KOMBE UGENINI DHIDI YA USM ALGER.
Mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho itapigwa kesho Jumamosi kwenye dimba la Omar Hamadi, jijini Algiers, lenye uwezo wa kuchukua mashabiki 17,500 watakaowashuhudia USM Alger wakiwaalika timu ya Wananchi,…
MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED- Fainali ya Kombe la FA ya kibabe
Leo Juni 3,2023 katika dimba la Wembley jijini London utapigwa mchezo wa Fainali ya Kombe la FA ikizikutanisha timu za Manchester City na Manchester United. Hii ni Fainali ya ya…
SUPA JACKPOT BONUS YAENDA MOSHI-Ni Tsh 9, 260,274
Play Aviator today and win your share of $10,000 daily.
SEVILLA vs ROMA-Ni Fainali ya Europa ya kimbinu
Leo usiku kuanzia majira ya Saa 3, kwenye dimba la Puskas Arena Jijini Budapest nchini Romania, itapigwa fainali ya michuano ya Europa ikizikutanisha Sevilla ya Hispania na AS Roma ya…
ANKARAGUCU vs GALATASARAY- Ni Utamu Kunoga Uturuki
Patashika ya kuusaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uturuki itaendelea Jumanne hii ya Mei 30,2023 kwa mechi kati ya timu ya Ankaragucu watakapowakaribisha timu ya Galatasaray. Vita kubwa kwa sasa…
BARNSLEY vs SHEFFIELD WEDNESDAY- Ni Dabi Ya Play Offs Wembley
Patashika ya mchezo wa fainali ya Play Offs ya timu za League One, itafikia tamati usiku wa leo, ambapo timu ya Barnsley watakabiliana na Sheffield Wednesday, katika uwanja wa Wembley…
BIG BASS SPLASH- Vuna Pesa Kama Mvuvi Kwenye Mchezo wa Kasino.
Ni muda sasa wa kuchukua ndoano na kurudi kwenye ufukwe na kuanza kuvua Samaki. Haya ndio maneno yanayoakisi mchezo wa Big Bass Splash. Mchezo wa Kasino wa mashine (slot game)…
