YANGA vs USM ALGER KESHO -Historia iliyosubiriwa kwa miaka 30.
Kesho kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam, historia itaandikwa wakati Yanga ya Tanzania itakapowaalika miamba ya soka kutoka Algeria, USM Alger katika pambano la fainali mchezo wa…
PAMOJA BINGWA AMEPATIKANA SEVILLA vs REAL MADRID NGOMA NZITO
Licha ya kwamba bingwa wa ligi ya Uhispania La Liga ameshapatikana, ambayo ni timu ya Barcelona, jambo moja la kusisimua lipo kwenye kinyang’anyiro cha kumalizia katika nafasi mbili zinazofuata. Utamu…
Manchester United wanahitaji points 1 tu kwa Chelsea.
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Jackpot Bonus safari hii yaenda Goba, Dar.
Unaweza ukasema bahati haina mwenyewe. Hivi ndivyo msemo wa Kiswahili ulivyotimia kwa mmoja wa washindi wetu wa Jackpot bonus ya kati kati ya wiki Maria kalosi Gwimile. Mwanamke huyu ameshinda…
LIGI KUU NBC 2022/23- Umekuwa msimu bora sana kwa Yanga.
Ligi Kuu Tanzania bara ilikuwa iendelee kesho Jumatano kwa michezo kadhaa kupigwa ikiwa ni mzunguko wa 28, katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya NBC Tanzania, lakini mechi hizo…
NEWCASTLE vs LEICESTER – Nani kati yao kumkwamisha mwenzake
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Furahia mchezo wa CHILLI HEAT- Casino
Ni wiki nyigine tena tunakutana katika kurasa hizi za blog ya SporPesa. Leo tunakuletea mchezo wa Kasino unaojulikana kama Chilli Heat. Mchezo huu kama ilivyo michezo mingine umepewa maudhui ya…
Je MAMELODI SUNDOWNS kuwafunga WYDAD ATHLETIC CLUB?
Leo ndio siku ambayo mpira wa Afrika, utashuhudia moja kati ya mechi bora kabisa za mpira wa miguu katika ngazi ya vilabu Afrika ikipigwa kule Africa Kusini kati ya Mamelodi…
AL AHLY vs ESPERANCE- Itakuwa maajabu Esperance Kwenda Fainali
Timu ya mpira wa miguu ya Al Ahly Cairo, leo wanashuka uwanjani kupambana na Esperance ya Tunsia katika mechi ya marudiano ya kombe la klabu bingwa Afrika, baada ya mechi…
