Bwana Ally ametusua Tsh. 12,209,017 kwenye Mid-week jackpot ya SportPesa!!!
Kwa mara nyingine tena SportPesa imetoa mshindi wa Jackpot bonus, Mzee Ally Suleimani Iswizilo, ambaye ni mkazi wa Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata Nyegezi. Ally amejishindia bonus ya shilingi 12,209,017 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi…