- Mchezo wa mwisho hatua ya makundi Panama vs England FIFA Kombe la Dunia kwa Kundi L unatarajiwa kuchezwa Juni 28.
- Saa 6:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki Uwanja wa New York/New Jersey na Abdulrahman Al Jassim atakuwa mwamuzi
- SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa kina, takwimu na hali ya vikosi
Ni Panama vs England FIFA Kombe la Dunia 2026, mchezo wa maamuzi kwa Kundi L. England wanatafuta kurejea kwenye njia ya ushindi baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Ghana. Walianza na ushindi dhidi ya Croatia katika mchezo wa ufunguzi na sare dhidi ya Ghana, bado hawajathibitisha nafasi yao katika hatua ya 32 bora. Mechi dhidi ya Panama, ambao tayari wametolewa baada ya kupoteza michezo miwili, inawapa nafasi kubwa ya kufuzu na hata kuongoza kundi iwapo watashinda.
Hii hapa ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026
Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Panama vs England angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Taarifa kuhusu mechi
| Mashindano | Mchezo | Uwanja | Muda wa mchezo | Kundi | Tarehe | Jukwaa la kubashiri |
|---|---|---|---|---|---|---|
| FIFA Kombe la Dunia 2026 | Panama vs England | New York/New Jersey Stadium | Saa 6:00 usiku (EAT) | Kundi L | Juni 28, 2026 | SportPesa |
Panama vs England vikosi vinavyotarajiwa
Hivi ni vikosi vinavyotarajiwa kuanza kwenye mchezo kutokana na mechi zilizopita. Vikosi rasmi vinatarajiwa kutambulishwa saa 1 kabla ya mchezo.

Takwimu za Senegal vs Iraq hizi hapa zisome: Prediction Senegal vs Iraq FIFA Kombe la Dunia 2026: Kundi I, h2h, team news, odds
| Timu | Kikosi kinachotarajiwa (XI) |
| England | Jordan Pickford; Reece James, Ezri Konsa, John Stones, Nico O’Reilly; Eberechi Eze, Elliot Anderson; Bukayo Saka, Jude Bellingham, Marcus Rashford; Harry Kane |
| Panama | Orlando Mosquera; Andrés Andrade, José Córdoba, Jiovany Ramos; César Blackman, Yoel Bárcenas, Carlos Harvey, Amir Murillo; José Luis Rodríguez, Cecilio Waterman, Cristian Martínez |
Hali ya timu kufuzu 32 bora
| Timu | Alama | Tofauti ya Magoli (GD) | Hali ya kufuzu |
| England | 4 | +2 | Ushindi → wanaongoza kundi. Sare → wanafuzu hatua ya 32 bora. Hata wakipoteza, bado wanaweza kufuzu kama nafasi ya pili au ya tatu bora. |
| Ghana | 4 | +1 | Wanahitaji matokeo mazuri dhidi ya Croatia ili kufuzu. |
| Croatia | 3 | -1 | Ushindi dhidi ya Ghana unaweza kuwapeleka hatua ya 32 bora. |
| Panama | 0 | 0 | Tayari wametolewa. |
H2H Panama vs England
Rekodi zinaonyesha kuwa Panama vs England wamekutana mara moja katika mchezo wa FIFA Kombe la Dunia 2018. Ilikuwa hatua ya makundi na England 6-1 Panama yalikuwa matokeo.
Panama vs England matokeo ya mechi 6 zilizopita
| Timu | Matokeo | Tarehe | Mashindano |
| Panama | 0 – 1 vs Croatia (H) | 24 Juni 2026 | FIFA Kombe la Dunia Kundi L |
| 0 – 1 vs Ghana (A) | 18 Juni 2026 | FIFA Kombe la Dunia Kundi L | |
| 1 – 1 vs Bosnia & Herzegovina (H) | 6 Juni 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 4 – 2 vs Dominican Republic (H) | 4 Juni 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 2 – 6 vs Brazil (A) | 31 Mei 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 2 – 1 vs Afrika Kusini (A) | 31 Machi 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| England | 0 – 0 vs Ghana (H) | 23 Juni 2026 | FIFA Kombe la Dunia Kundi L |
| 4 – 2 vs Croatia (H) | 17 Juni 2026 | FIFA Kombe la Dunia Kundi L | |
| 3 – 0 vs Costa Rica (H) | 10 Juni 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 1 – 0 vs New Zealand (H) | 6 Juni 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 0 – 1 vs Japan (H) | 31 Machi 2026 | Mechi ya Kimataifa | |
| 1 – 1 vs Uruguay (H) | 27 Machi 2026 | Mechi ya Kimataifa |
Prediction Panama vs England
Kwa mujibu wa Opta Analyst ushindi unaelekea kwa timu ya taifa ya England. Uwezekano wa ushindi ni asilimia 83.1. Hii inatokana na uchambuzi kuhusu kikosi na matokeo ya mechi zilizopita. Ni aslimia 5.8 Panama wanapewa nafasi ya kushinda huku asilimia 11.1 ikiwa ni asilimia ya sare kwenye mchezo.

Ukizubaa hili kundi unaachwa angalia rekodi: Egypt vs Iran Kombe la Dunia 2026 Kundi G: Live score, h2h, odds na habari za timu
Jinsi ya Kubashiri na SportPesa
Fungua ukurasa wa mechi ya Panama vs England kwenye SportPesa (link above).
Chagua aina ya masoko unayotaka kuweka dau lako – Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB)
Weka kiasi cha dau lako na uthibitishe.
Wapi kwa kutazama (How to watch) Panama vs England Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Panama vs England kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ)
Panama vs England mchezo utachezwa saa ngapi?
Mchezo wa Panama vs England utachezwa saa 6:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki
Panama vs England zimewahi kukutana mara ngapi?
Timu hizi zimekutana mara moja kwenye hatua ya makundi FIFA Kombe la Dunia 2018.
Panama vs England itachezwa tarehe ngapi?
Mchezo huu utachezwa Juni 28, 2026
Panama vs England utachezwa uwanja gani?
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New York/New Jersey Stadium

