skip to Main Content

NBA-PLAYOFFS-INARUDI TENA

Tunajua wiki hii kuna mechi nyingi za kimataifa lakini kwa kuwa SportPesa ni mdau wa michezo, kikapu ikiwemo, leo tunakuangazia NBA PlayOffs. Hizi ni mechi za Basketball ambazo huchezwa baada ya ligi ya kawaida ya NBA kwisha, ili kumpata mshindi…

Read More

 UGANDA VS TANZANIA- Stars kulipa kisasi?

Timu ya taifa ya Uganda inatarajiwa kuikaribisha Taifa Stars kwenye Uwanja wa Suez Canal, Ismailia nchini Tunisia, kuwania nafasi ya kufuzu kombe la Africa. Mchezo huu wa kuwania kufuzu Fainali za Afcon, mwenyeji ni Uganda na umepelekwa Tunisia kutokana na…

Read More

HUKU GHANA VS ANGOLA, KULE RAJA VS SIMBA

Mechi za kimataifa ndio hivyo zimerudi tena. Kuanzia siku ya Jumatano wiki hii, mpaka mwisho wa mwezi huu, viwanja vingi vya mpira vitakuwa vinashughuli za kimechezo za mechi za kimataifa kwenye hatua ya kufuzu iwe Africa ama Ulaya. Leo tunakuangazia…

Read More
Simba SC

Simba, Yanga nani kusonga mbele kimataifa?

KATI YA SIMBA NA YANGA NANI KUSONGA MBELE KIMATAIFA? Ikiwa ni masaa machache kabla ya kipenga cha michezo kati ya Simba na Horoya kupulizwa, vuguvugu mtaani limekuwa ni timu gani kati ya Yanga na Simba, itakayoweza kupenya hatua hii ya…

Read More
Back To Top