skip to Main Content
BIG BASS SPLASH- Vuna Pesa Kama Mvuvi Kwenye Mchezo Wa Kasino.
Screenshot- - - -at-

BIG BASS SPLASH- Vuna Pesa Kama Mvuvi Kwenye Mchezo wa Kasino.

Ni muda sasa wa kuchukua ndoano na kurudi kwenye ufukwe na kuanza kuvua Samaki. Haya ndio maneno yanayoakisi mchezo wa Big Bass Splash. Mchezo wa Kasino wa mashine (slot game) ambao unatumika kimtandao.

Hii inamaanisha mchezo huu umebuniwa kwa kufuata uhalisia wa maisha ya wavuvi kama wachakarikaji wa kutafuta pesa ambao wanafananishwa na wavuvi wanaokwenda ufukweni kuvua samaki.

Kwa namna ambavyo alama muhimu za mchezo huu zilivyopangiliwa, kuna alama kama 12 ambazo zimewekwa ki mkakati au kwa mpangilio maalumu, zikiwakilishwa na namba 10 na pia zikiwakilishwa na alama A.

Alama hizo ni pamoja na Dragonfly, box la chambo, mshipi, Pick Up kubwa na aina mbali mbali za Samaki ambao ndio wanaotengeneza mizunguko ya bonus tofauti tofauti.

Kama ilivyokuwa kwa michezo mingine, mchezo huu wa Kasino wa Big Bass Splash unatumia maduara matano (5 reels) na mistari mistari 10 ya malipo (10 pay line).

Kuna alama za aina mbili amabazo zenyewe moja ni WILD na nyingne ni SCATTER. Alama ya WILD inatambulishwa na jibaba lenye ndevu nyingi, akiwa ameshika ndoano. Alama hii ya WILD yenyewe inafanya kazi kwa kutua kwenye makasha ya duara (land on reels) na ikiwa imetua basi itajihuisha na alama nyingine zilizopo katika maduara husika kwa wakati huo na kutengeneza kombinesheni katika mistari ya malipo, kutegemea na mpangilio au thamani ya alama husika.

Alama ya SCATTER inawakilishwa na Samaki aliyevuliwa akiwa bado yupo kwenye ndoano anayetapatapa nje ya maji. Samaki huyu ndiye alama muhimu katika mchezo huu wa Big Bass Splash.
Alama hii ya Samaki huyu ndio kiungo kikuu katika kumpatia mchezaji michezo ya bure na kumpa nafasi ya kushinda  mpaka X5000 ya dau lake.

Ikitokea wakati unacheza na ukabahatika kupata alama hii katika mpangilio wa kukupa michezo ya bure, basi jua umepata bahati ya uhakika katika malipo, kwani michezo ya bure inakuja na alama zingine zitakazozidisha kiwango cha malipo unayotarajia kuyapata.

Tabia na Alama za Mchezo Huu- Big Bass Splash

Kwanza kabisa malipo yote katika mchezo huu yanatokea katika kombinesheni ya mpangilio wa alama kutoka kushoto kwenda kulia.

Malipo yote ambayo utapata yatazidishwa kwa dau uliloweka katika mstari husika wa malipo, isipokuwa kwa malipo makubwa tu nayo yatalipwa

Mchezaji ana fursa ya kuutawala mchezo wake kwa kupewa fursa ya kuweza kubadilisha kiwango cha dau analotaka kucheza kwa namana anayopenda. Ikiwa anataka kupunguza au kuongeza dau kwa kila mstari basi ana nafasi hiyo muda wowote wa mchezo.

Kiwango cha pesa uliyonayo, dau unalocheza na pesa ambayo umeshinda vyote vitaonekana kwa uwazi bila kificho na unaweza kuchagua namna ambavyo unataka zionekane kwenye kioo cha kifaa chako unachotumia kucheza.

Katika michezo ya bure alama ya WILD inaweza kutokea katika kila duara na hivyo kufanya kazi ya kujihuisha na alama nyingine zote kasoro alama ya SCATTER.

Pia alama ya SCATTER ikiwa itatokea katika maduara wakati wa mizunguko ya bure itamaanisha mkwanja, ambapo itageuka na kuwa alama ya Samaki, ikimaanisha mchezaji amepata malipo makubwa.

Kwa hiyo SCATTER inageuka kuwa alama ya pesa yenye thamani sawa na alama ya Samaki wakati wa michezo ya bure tu na si vinginevyo. Ikiwa itatokea kwenye mizunguko ya kawaida alama ya SCATTER haitajihusisha na kuwa na thamani ya malipo kama Samaki, ambayo ni sawa na WILD.

ALAMA YA SAMAKI

Samaki ni alama kuu ya malipo ikimaanisha pesa. Katika kila mzunguko Samaki atakuwa na thamani tofauti tofauti za malipo kutegemeana na mwenendo wa mchezo. Hii inatokea tu katika michezo ya bure kama nilivyotangulia kutaja awali.

MICHEZO YA BURE-FREE SPINS

Ikiwa mchezaji wakati wa mizunguko ya kawaida katika mchezo wako na alama za Samaki au Scatter 3 au zaidi zikatokea basi utakuwa umejishindia michezo ya bure kuanzia 3 na kuendelea mpaka michezo 20 ikiwa utapata alama za Samaki watano kwa pamoja katika maduara yako.

Pia ikiwa wakati unacheza na zikatokea alama mbili za SCATTER basi SCATTER ya tatu inaweza kuibuka kwa kushtukiza kwenye kioo cha kifaa unachotumia na alama nyingine yoyote.

MICHEZO YA BURE YA KUJIRUDIA (RE SPIN)

Namna ya kwanza ambapo michezo ya bure ya kujirudia hupatikana kwa alama za SCATTER ambazo ni Samaki kuelekea mwelekeo wa chini kwa nafasi moja (down one position), kwa kifupi kutokea bila mpagilio maalum, kuelekea chini (kwa nafasi moja), lakini bado Samaki hao wakabakia kwenye duara (remain on the reel), Basi michezo ya bure ya kujirudia itajihuisha.

Namna ya pili ya michezo ya kujirudia hupatikana ni pale duara moja lenye alama ya Samaki litakaposhuka chini kwa nafasi moja na duara lingine bila Samaki likajizungusha kama mchezo wa bure. Basi bila kufuata mpangilio maalum ndoano itanyanyua juu moja kati ya maduara matano du ili kuibua alama ya Samaki inayofuata.

Kitendo hichi kinamaanisha mchezaji unapata pesa kutegemeana na kombinesheni za alama ambazo zitakuwepo katika mistari ya mizunguko kwa wakati huo.

Cha muhimu kuzingatia katika michezo hii ya bure ya kujirudia ni faida ambayo mchezaji anaipata.  Ni kwamba hapa ndipo alama za kukuzidishia malipo zinapofanya kazi kwa ufanisi mkubwa.

Alama ya Samaki ambayo ndio WILD zinaongezeka kutoka kwa wingi, alama ya Mvuvi ambayo ndio SCATTER nazo zinajitokeza kwa wingi na alama ya baruti, bunduki aina ya Bazooka na ndoano nazo zinajitokeza kwa wingi.

Mpaka hapo utakuwa umepata mwanga juu ya mchezo huu wa Big Bass Splash. Kuucheza tembelea

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share this:
Back To Top