skip to Main Content
Furahia Michezo Ya Kasino Ya Soka VIRTUAL PRO, KNOCKOUT FOOTBALL RUSH Na Mingine Mingi
IMG

Furahia Michezo ya Kasino ya soka VIRTUAL PRO, KNOCKOUT FOOTBALL RUSH na mingine mingi

Ikiwa tunaelekea kumaliza msimu ambapo ligi za soka nyingi zinafikia tamati, SportPesa tumekuletea new experience ya kwenye Kasino ya mtandao kwa kutambulisha bidhaa zinazoendana na wapenda mpira.
Kwetu sisi SportPesa michezo hii ni zaidi ya burudani na ndio maana tumeamua kuwaletea wateja wetu michezo ili mzidi kufurahia bidhaa nzuri, hata baada ya baadhi ya ligi maarufu kwenda mapumziko.
Kupitia blog yenu pendwa blog.sportpesa.co.tz, ambayo inapatikana kupitia tovuti sportpesa.co.tz leo tunawatambulisha baadhi ya michezo ya kasino ambayo inahusiana moja kwa moja na mchezo wa mpira kwa timu na ligi ulizozizoea. Kaa kwa shauku kuu ukifuatilia makala hii.
Kwa kuanzia ninakuletea mchezo wa Virtual Football Pro. Mchezo huu umeakisi maudhui ya ligi 162 duniani, ambazo zinapatikana katika nchi 146. Mchezo huu ni moja ya michezo ya kufurahisha na kuburudisha ambao kwa wale wapenzi nguli wa michezo ya aina hii, basi wanaelewa faida inayoendana na michezo hii.

Virtual games
Kwa kuanzia Virtual Pro inafuata mfumo wa ligi mbali mbali kama nilivyotambulisha hapo juu awali. Vile Vile mashabiki wanaopendelea ama wanaotaka kucheza mchezo au michezo ya aina hii wananafasi ya kuchagua timu pendwa za kuzitumia na kuzishabikia kama ambavyo kwenye mechi halisia zilivyo.
Michezo hii imechukua ligi ambazo zina timu kuanzia mechi 20,18,16,14,12,10. Cha ziada ni kwamba mchezo huu wa Virtual pro umekuja na masoko 16 mapya kama ambavyo masoko ya ubashiri wa kawaida kwenye tovuti unavyokuwa.
Hii inawapa wachezaji wetu wigo mpana wa kuchambua na kuweka mikeka kwa uhakika zaidi, kwa kuzingatia odds unazozitaka ama kuzifikiria kuweka katika mkeka wako pendwa. Baadhi ya masoko kwenye mchezo huu ni pamoja na ‘’draw no bet’’, ‘’double chance’’ na ‘’total number of goals scored’’.
Masoko mengine ya nyongeza ni pamoja na mchezaji kupewa nafasi ya kubashiri kabla ni timu gani itaongoza hadi kufikia nusu ya mechi za msimu, ama kati kati ya ligi, timu gani itashuka daraja ama kuondolewa na ubashiri wako mteja wa namna pointi zitakavyokuwa kwa timu husika.

Kingine cha nyongeza kwenye mchezo huu ama hii ni namna malipo yake yalivyo makubwa. Katika mchezo wa Virtual Pro kiasi cha chini cha kucheza ni 300, ambapo malipo ya juu kwa mchezo huu ni 23,000,000.
Cha nyongeza cha kuzingatia ni kwamba mchezo huu au hii inachezwa kwa muda mfupi mfupi ili kukupa mteja wetu nafasi ya kucheza michezo mingi kadiri uwezavyo, na kupiga mkwanja ki ulaiini.
Pia napenda kuutambulisha kwenu mchezo wa Knockout Football Rush. Kama ambavyo mchezo wa Virtual Football Pro ulivyo na wenyewe ni mchezo wa tovuti unaotumia maudhui ya mpira wa miguu.
Sasa mchezo huu unatumia mfumo wa tofauti kidogo na mfumo wa Virtual Pro, kwa sababu umepewa kipengele cha penalty ambacho ndio kipande kikuu cha mchezo huu, mpaka kupewa jina la Knockout Football Rush.

Football Rush
Mchezo huu kama michezo mingine unatumia maduara matatu (3 reels), na mistari sita ya malipo (with six payllines) kama mpangilio wa mchezo. Cha pili mchezo huu una alama 6 ambazo ndio zinazotumika katika mchezo
ALAMA UTAKAZOZIKUTA KATIKA MCHEZO HUU.
Kwa wale wapenzi ambao wanataka ama wana shauku ya kucheza mchezo huu, pale watakapofungua huu mchezo watakutana na alama za Filimbi, viatu vya kucheza mechi maarufu kama njumu, picha ya uwamja wa mpira, glovu za golikipa na mpira.
UNACHEZAJE?
Kwa mchezaji ambaye atafungua mchezo huu na kuanza kucheza kitu cha kwanza ambacho atahitaji kufanya ni kuchagua ngazi za ubashiri kwa kitaalam wanasema (bet level 1,2,5,7 au 10) kwa kutumia kitufe cha ngazi ya ubashiri (bet Level Button), ambayo inapatikana upande wa chini wa kushoto wa skrini ya mchezo.
Baada ya kuchagua bet level utachagua kiwango chako cha dau ambacho utatumia kucheza katika kila mzunguko wa knockout football rush. Ukimaliza hatua hii utaenda kwenye namna unataka kucheza, kwa aidha kwa kutumia Auto Spin au kwa kucheza wewe mwenyewe.
BONUS ZA MCHEZO HUU
Alama kuu ambayo ya muhimu sana katika mchezo huu ni alama ya mpira. Alama hii inasimamia majukumu mawili. Jukumu la kwanza alama hii ni WILD na jukumu la pili alama hii inafanya kazi kama bonus.

Football StarAlama ya WILD ikitokea inajihuisha na kufanana na alama yoyote ambayo itakutana nayo wakati huo.
Kitu muhimu cha kufahamu kabla ya kupata bonus ni kwamba kama bonus ya mipira 3-5 itatokea kwenye safu ya kwanza, basi utapata faida ya X2 ya malipo katika dau lako na pia alama ya kikaragosi cha mchezaji anayepiga penati kitatokea na kusogea juu mbele katika duara (reel) na kuganda kusubiria mzunguko unaofuatia.
Mpira pia unafanya jukumu la kuwa alama ya bonus, scatters na malipo ya kujizidisha (multiplier), mshindi atapata malipo kama ifuatavyo.
Ikiwa utapata mipira 3-5 basi utapata multiplier ya X2 katika malipo yako. Ikiwa utapata mipira 6-8 basi utapata multiplier ya X4 katika malipo yako. Ikiwa utapata mipira 9, basi utapata multiplier ya X60 katika malipo yako.
Cha ziada katika mchezo huu ni pamoja ni mchezo unaohusiana na mahudhui ya mpira mchezo huu una Jackpot ambayo unaipata wakati unacheza. Jina lake ni Jackpot Race
HITIMISHO
Baada ya kukupa elimu kidogo na uelewa kuhusiana na michezo hii miwili ya Virtual Pro na Knocout Football Rush tunatumai wateja wetu mtafurahia kujaribu kucheza michezo hii wakati huu ligi mbali mblai za soka duniani zikiwa zipo mapumziko.
Ili kucheza tembelea tovuti yetu ya SportPesa.co.tz kucheza michezo hii na mingineyo.

Share this:
Back To Top