- Colombia vs Portugal Kombe la Dunia 2026, hii inaelezwa kuwa ni fainali ya Kundi K kusaka timu zinazokwenda hatua ya mtoano ya 32 bora.
- Mechi hii kali itapigwa kwenye Uwanja wa Miami, USA 28 June 2026 saa 8 na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
- Jeshi la Ureno likiongozwa staa wao Cristiano Ronaldo na Bruno Fernandez, watavaana na Colombia ya James Rodriguez na Luis Diaz.
- Makala hii inachambua h2h, livescore, takwimu na Habari za timu za mechi hii kama ifuatavyo
Colombia wakiwa tayari wamefuzu hatua ya 32 bora watavaana na Portugal, ambayo situ kwamba wanaisaka tiketi Ya Robo hatua ya 32 bora, bali wanataka kuongoza Kundi. Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo alituma ujumbe wa “I’m back” akimaanisha amerudi baada ya kufunga mabao 2 katika ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Uzbekistan. Colombia nao wanataka kuonyesha sio kinyonge, bali wamejipanga kufanya vizuri kwenye mashindano haya. Mechi hii ya mwisho ya Kundi K itapigwa uwanja wa Miami.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Colombia vs Portugal
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Maelezo ya Mechi

| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mashindano | Mchezo wa tatu na wa mwisho wa Kundi K katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026. |
| Tarehe na Muda | Pambano hili litapigwa Jumapili, tarehe 28 Juni 2026, kuanzia saa 2:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT). |
| Uwanja | Miami Stadium, uliopo Miami, Marekani, utakuwa mwenyeji wa mchezo huu muhimu. |
| Hali ya Kundi K | Colombia tayari wanaongoza kundi kwa pointi 6, wakifuatiwa na Ureno wenye pointi 4. DR Congo wana pointi 1, huku Uzbekistan wakiwa bado hawajakusanya pointi. |
| Umuhimu wa Mchezo | Colombia wanahitaji sare pekee ili kumaliza kileleni mwa kundi, wakati Ureno wanalazimika kushinda ikiwa wanataka kutwaa nafasi ya kwanza kabla ya kuingia hatua ya mtoano. |
| Mchezo Mwingine wa Kundi | Wakati huohuo, DR Congo watakuwa wakikabiliana na Uzbekistan katika mchezo mwingine wa mwisho wa Kundi K, ambao nao utakuwa na athari kwenye msimamo wa mwisho wa kundi. |
KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Muhtasari wa Colombia vs Portugal
Mechi za Kundi K Kombe la Dunia 2026 zitafikia tamati siku ya usiku was aa nane na nusu ukuamkia Jumapili na mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni ule wa Colombia vs Portugal. Mechi hii itapigwa Uwanja wa Miami, USA ambapo vita kubwa inayosubiriwa hapa ni ile ya nani ataongoza Kundi.
Colombia walianza kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uzbekistan, kabla ya kuichapa DR Congo bao 1-0 katika mchezo wao wa pili. Pointi sita walizokusanya zimewahakikishia kufuzu hatua ya 32 bora. Hata hivyo, wanahitaji sare pekee katika mchezo huu ili kumaliza kileleni mwa Kundi K. Hii itawasaidia kukutana na moja ya timu zilizomaliza katika nafasi ya tatu kutoka makundi D, E, I, J au L.
Iwapo Colombia watapoteza dhidi ya Ureno, watamaliza nafasi ya pili na kukutana na mshindi wa pili kutoka Kundi L katika hatua ya 32 bora. Wengi wanaitaja Colombia kama moja ya timu zinazoweza kufanya vizuri zaidi kwenye mashindano haya. Watakumbukwa kwa kufika robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014.
Hii itakuwa mara ya kwanza Colombia na Ureno kukutana katika mechi ya mashindano rasmi. Mkutano wao pekee uliopita ulikuwa wa kirafiki mwaka 2014 na ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Ureno wanaingia katika mchezo huu wakiwa na morali ya juu baada ya ushindi mkubwa wa mabao 5-0 dhidi ya Uzbekistan. Cristiano Ronaldo alifunga mabao mawili katika mchezo huo na kufikisha mabao 975 katika maisha yake ya soka. Kikosi cha Roberto Martínez kina pointi nne na kinahitaji ushindi ili kuipita Colombia na kumaliza kileleni mwa Kundi K. Sare itawaacha katika nafasi ya pili, huku kipigo pia kikitarajiwa kuwafanya wabaki wa pili endapo DR Congo hawataifunga Uzbekistan katika mchezo mwingine wa Kundi hilo, Ureno pia wanatajwa kuwa miongoni mwa timu zenye uwezo wa kutwaa ubingwa mwaka huu.
Habari za Timu na Vikosi Vinavyotarajiwa
Colombia wanaingia katika mchezo huu wakiwa na pigo la uwezekano wa kumkosa mshambuliaji wao Luis Suárez. Suarez alipata maumivu ya bega katika mchezo wao dhidi ya DR Congo. Hata hivyo, matarajio ni kwamba atakuwa tayari kuanza mchezo huu. Kwa upande wa Ureno, beki Tomás Araújo bado ana shaka ya kucheza, baada ya kupata majeraha katika mchezo wa kwanza dhidi ya DR Congo. Mbali na hilo, kikosi kiko katika hali nzuri na Cristiano Ronaldo, anatarajiwa kuendelea kuongoza safu ya ushambuliaji.
Vikosi Vinavyotarajiwa
Colombia

| Nafasi | Mchezaji |
|---|---|
| Kipa (GK) | Camilo Vargas |
| Beki wa Kulia (RB) | Daniel Muñoz |
| Beki wa Kati (CB) | Davinson Sánchez |
| Beki wa Kati (CB) | Jhon Lucumí |
| Beki wa Kushoto (LB) | Johan Mojica |
| Kiungo wa Kati (CM) | Kevin Puerta |
| Kiungo wa Kati (CM) | Jhon Arias |
| Kiungo wa Ulinzi (DM) | Jefferson Lerma |
| Kiungo Mshambuliaji (AM) | James Rodríguez |
| Mshambuliaji (ST) | Luis Suárez |
| Winga wa Kushoto (LW) | Luis Díaz |
Ureno
| Nafasi | Mchezaji |
|---|---|
| Kipa (GK) | Diogo Costa |
| Beki wa Kulia (RB) | João Cancelo |
| Beki wa Kati (CB) | Rúben Dias |
| Beki wa Kati (CB) | Renato Veiga |
| Beki wa Kushoto (LB) | Nuno Mendes |
| Kiungo wa Kati (CM) | Vitinha |
| Kiungo wa Kati (CM) | Bruno Fernandes |
| Kiungo wa Kati (CM) | João Neves |
| Winga wa Kulia (RW) | Pedro Neto |
| Mshambuliaji (ST) | Cristiano Ronaldo |
| Winga wa Kushoto (LW) | João Félix |
Utabiri Wetu (zaidi ya magoli 3 yaani over 2.5)

Mchezo huu unakutanisha timu ambazo zina safu kali za ushambuliaji, na ni mchezo wa maamuzi hivyo kila timu itaingia ikihitaji ushindi ama angalau kutopoteza mechi. Hivyo utabiri wetu na maoni ya kiuhariri, ni upatikanaji wa mabao zaidi ya matatu. Haya ni maoni ya kiuhariri, sio matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.
KUJUA RATIBA NA UCHAMBUZI WA MECHI IJAYO YA CAPE VERDE, SOMA HII: Prediction: Cape Verde vs Saudi Arabia Kombe la Dunia 2026: Live score, h2h, odds na habari za timu
Rekodi ya Colombia vs Portugal (H2H)
Timu hizi zina kumbukumbu ya kukutana mara 1 tu, katika mchezo wa kirafiki mwaka 2014, Hakuna rekodi ya mkutano mwingine kati ya timu hizi. Hivyo huu unatarajiwa kuwa mchezo wa kihistoria kwenye jukwaa kubwa zaidi la soka la kimataifa.
Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unayapa nafasi kubwa matokeo ya kupatikana kwa mabao mawili au zaidi. Mechi hii itaamua ikiwa Portugal anakwenda inayofuata, kama kinara wa Kundi au ni Colombia. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Colombia vs Portugal kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Colombia vs Portugal itaanza saa ngapi?
Mechi itaanza saa nane na nusu kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Jumapili tarehe 28 Juni 2026.
Colombia vs Portugal gani?
Wapo Kundi K pamoja na DR Congo na Uzbekistan.
KUJUA UCHAMBUZI NA RATIBA YA MECHI IJAYO YA UFARANSA, SOMA HII: Norway vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, h2h, lineups, odds

