MJASIRIAMALI TABATA ALAMBA 5,615,992 JACKPOT YA SPORTPESA!!
Mkazi wa Tabata Kimanga Deus Isidory Msigwa, amebahatika kushinda kitita cha Sh 5,615,992, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13, kama bonus ya Jackpot ya SportPesa. Akizungumza katika ofisi za SportPesa, Oyesterbay, Jijini Dar-Es-Salaam, Deus anasema…