skip to Main Content
Mhandisi Na Mkulima Walamba Zaidi Ya Mil 30 Jackpot Bonus Ya SportPesa
Mshindi wa Jackpot bonus mechi 12 kwa double combination Rafaeli Melikyor Asenga akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 26,754,152 . Jackpot ya SportPesa kwa sasa ni shilingi 961.840,460

Mhandisi Na Mkulima Walamba Zaidi Ya Mil 30 Jackpot Bonus Ya SportPesa

Wakizungumza katika ofisi za SportPesa jijini Dar-Es-slaam, baada ya ya hafla ya makabidhiano ya mfano wa hundi Rafaeli Asenga, mshindi wa Milioni 26 ambaye ni Mkulima wa Kiteto Manyara anasema alianza kucheza na Sportpesa 2017 baada ya kushawishiwa na rafiki yake.

Rafaeli-Melikyor-Asenga

Mshindi wa Jackpot bonus mechi 12 kwa double combination Rafaeli Melikyor Asenga akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 26,754,152 .
Jackpot ya SportPesa kwa sasa ni shilingi 961.840,460

‘’Unajua pale ninapoishi kuna jamaa yangu Ismail Ramadhani Msuya alinipakulia App ya SportPesa na alinifundisha namna ya kucheza kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Tokea hapo mimi ni kucheza na kushinda tu mara kwa mara.’’.

Naye anasema yeye alianza kucheza na Sportpesa kuanzia mwaka 2018 baada ya kusikia watu wanajishindia pesa kupitia mechi za kawaida na Jackpot kila wikiendi.

‘’Kama ilivyokuwa kwa watu wengi nina rafiki yangu Samuel Bundala ambaye yeye alinifundisha namna ya kucheza na kwa siku hiyo ilikuwa bahati yangu nilishinda zaidi ya elfu thelathini na hivyo kupata mwamko wa kucheza zaidi’’.

Wakizungumza namna walivyoweka mikeka yao Asenga anasema alitumia siku nne kufanya uchambuzi na utafiti kidogo kabla ya kuweka mkeka wa double combination siku ya Jumamosi mchana.

‘’ Mimi nilitumia siku kama nne hivi mpaka kuweka mkeka huu nilioshinda. Baada ya hapo sikufuatilia kujua matokeo yamekwendaje. Ila nashukuru Mungu siku ya Jumapili mida ya saa nne kasoro usiku nilipata meseji ya ushindi huu wa Jackpot bonus ya milioni 26.

Mhandisi Anganile yeye ameshinda shilingi zaidi ya milioni 11 anasema yeye aliuona mkeka wa Jackpot alioshinda kwa mara ya kwanza siku ya tarehe 14 mchana hivyo alitumia siku kama 3 kutafakari namna ya kupanga timu.

Jackpot bonus winner

Mshindi wa Jackpot bonus mechi 12 Anganile Nestor Mbonile akishikilia mfano wa hundi ya shilingi 11,433,887. Jackpot ya SportPesa kwa sasa ni shilingi 961.840,460

‘’Nafikiri ilikuwa siku ya Jumatatu majira ya saa nane kasoro nilipopata fursa ya kuona mechi za Jackpot ya SportPesa na kuzitazama kwa umakini na kisha kuchambua kidogo na kuendelea na shughuli zangu. Ilipofika Jumamosi asubuhi niliweka mkeka na kuendelea na mambo yangu mpaka siku ya Jumapili usiku nilipopata meseji ya ushindi wa Jackpot Bonus’’.

Wakizungumza namna ambavyo watazitumia hela walizoshinda Anganile anasema yeye atawekeza asilimia kubwa kwenye biashara zake na Rafaeli Asenga anasema ataweka pesa kwenye kilimo cha kisasa zaidi.

Wote kwa Pamoja wamewashauri watanzania kucheza na SportPesa kwani ni ya uhakika na malipo ni ya haraka kama ambavyo wao wameshinda na leo wanakabidhiwa hela kwani washindi huwa wanatangazwa.

Naye Meneja Uhusiano wa Sportpesa Sabrina Msuya amewataka Watanzania kuendelea kucheza na kushinda kama walivyoshinda Rafaeli na Anganile kwani kwa wiki hii Jackpot imesimamia kwenye Milioni 961,840,46.

Share this:
Back To Top