skip to Main Content
Unaweza Cheza Supa Jackpot Na Ukashinda Zote 5- Ushindi Mkubwa Ni 1,000,000,000 TZS.

Unaweza Cheza Supa Jackpot na ukashinda zote 5- Ushindi mkubwa ni 1,000,000,000 TZS.

Kama ulikuwa hujasikia ama umesikia lakini hujaelewa vizuri Sportpesa wiki iliyoisha walizindua Jackpot mpya inayokwenda kwa jina la Supa Jackpot.

Jackpot hii inahusisha timu 17 ambapo zawadi kubwa kabisa ni kuanzia bilioni moja kama utakuwa umeshinda mecho zote zilizowekwa kwa wikiendi hiyo.

Kipengele namba moja ni cha timu 17 ambacho ukishinda unaondoka na kuanzia bilioni moja kutegemeana na Jackpot imesimamia kiasi gani. Kipengele hiki bonasi zake zinaanzia timu 16 mpaka 13.

Kundi la pilia au Kipengele namba mbili ni cha timu 16 ambacho ukipatia mechi zote unashinda kuanzia Tshs milioni 750. Kipengele hiki bonasi zake zinaanzia timu 15 mpaka mechi 11.

Kundi la tatu au kipengele namba tatu ni cha timu 15 ambacho ukipatia mechi zote kwa usahihi unashinda kuanzia Tshs milioni 500. Kipengele hiki bonasi zake zinaanzia mechi 14 mpaka mechi 10

Kipengele cha nne cha Supa Jackpot ni cha timu 14 ambacho ukipatia mechi zote kwa usahihi utashinda kuanzia Tshs milioni 300. Kipengele hiki bonasi zake zinaanzia timu 13 mpaka timu 10

Na kipengele cha mwisho hichi ni kipengele ambacho kimezoeleka kila siku ni cha timu 13 ambacho ukipatia kwa usahihi unashinda kuanzia Tsh mil 200

Cha ziada ambacho ni mabadiliko kidogo ni kwenye kombinesheni. Kama mtakumbuka Jackpot iliyoliwa ilikuwa unaweza kucheza dabo kombinesheni saba. Kwenye hii Jackpot mpya una uwezo wa kucheza dabo kombinesheni 10.

Kwa muktadha huu mchezaji wa Supa Jackpot ana uhuru wa kucheza jackpot zote tano na kama atapatia ubashiri wake kwa usahihi basi anashinda Jackpot zote au bonasi zote.

Cha mwisho kumalizia kwa sasa Sportpesa imekupa fursa ya kucheza bila bando kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel ambapo kwa wachezaji wenye simu janja au (smart phone) na wanaotumia huduma ya simu za vitochi au maarufu viswaswadu kwa menyu yetu ya *150* 87# wanacheza bure bila malipo yoyote.

Akiongelea huduma hii meneja uhusiano na mawasiliano wa Sportpesa Sabrina Msuya aliwataka watanzania kuchukua fursa hiyo kwani inawarahishia katika uchezaji wao.

‘’Kwenye eneo hili si watumiaji wa simu janja tu ama Smartphones ambao watanufaika. Kuna wachezaji wetu wanaotumia menyu ya ya*150* 87# ambao si wengine bali wale wenye simu za vitochi almaarufu kama viswaswadu nao watafurahia.

‘’Niwaombe watanzania mchukue fursa hii ya kucheza bila bando kwani inawapa urahisi wa kutumia huduma zetu kwa urahisi.’’.

Kucheza na Sportpesa piga *150*87# kujisajili, au tembelea http://www.sportesa.co.tz

 

 

Share this:
Back To Top