Mhandisi Na Mkulima Walamba Zaidi Ya Mil 30 Jackpot Bonus Ya SportPesa
Wakizungumza katika ofisi za SportPesa jijini Dar-Es-slaam, baada ya ya hafla ya makabidhiano ya mfano wa hundi Rafaeli Asenga, mshindi wa Milioni 26 ambaye ni Mkulima wa Kiteto Manyara anasema…
