Yanga SC 1-0 Simba SC: Highlights, magoli yote, h2h – Ngao ya jamii 2025
Ubishi kwisha! Baada ya tambo za muda mrefu, hatimaye ubao wa Uwanja wa Benjamin Mkapa umesomeka Yanga SC 1-0 Simba SC. Bao pekee la kiungo Zouzoua Pacome limefanikiwa kuipa Yanga…
Kuelekea Kariakoo Dabi Yanga SC vs Simba SC tambo zatawala | Waamuzi wa mchezo, wachezaji watakaokosekana
Kuelekea Kariakoo Dabi Yanga SC vs Simba SC tambo zatawala. Makocha na manahodha wamebainisha kuwa wapo tayari kwa fainali ya Ngao ya Jamii. Sio Yanga SC wala Simba SC wote…
Kariakoo Dabi vita ya Diarra na Camara inaanza | Takwimu, mechi, magoli | Septemba 16 2025
Kariakoo Dabi vita ya Diarra na Camara inaanza upya. Hawa ni makipa chaguo la kwanza katika timu wanazotumikia. Djigui Diarra yupo kikosi cha Yanga SC na Moussa Camara ndani ya…
Uchambuzi wa Yanga SC vs Simba SC itakayochezwa Septemba 16 | H2H, vikosi, matokeo, wafungaji
Yanga SC vs Simba SC hapa tunakuetea uchambuzi wa mechi hii kali ambayo itachezwa Uwanja wa Mkapa Septemba 16 2025. Miamba hawa wa Tanzania wamecheza mechi 21, Simba SC wakishinda…
Ujenzi Uwanja wa Yanga SC balaa! Injinia Hersi afanya kikao Kizito
Mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Yanga SC umezidi kushika kasi. Mara baada ya kukamilisha mchakato wa hati ya eneo la Jangwani, uongozi wa Yanga SC umefanya kikao Kizito. Kikao…
Manchester City vs Manchester United 14/09/2025: Manchester Derby h2h, vikosi, utabiri Highligts
Katika uwanja wa Etihad, Manchester City vs Manchester United ni katika mojawapo ya mechi zinazosubiriwa zaidi katika soka la Uingereza. Ni Manchester Derby, mchezo ambao mara zote umekuwa na Ladha…
SportPesa Goal Rush washindi Septemba 7-12, 2025 hawa hapa
Tabasamu kwa Watanzania limeendelea kutoka nyumba ya washindi Kampuni ya SportPesa kupitia mchezo wa SportPesa Goal Rush. Kwa wiki hii tumefanikiwa kupata washindi wapya wa wiki ya Septemba 7-12, 2025.…
Yanga SC vs Simba SC wachezaji hawa ni Kariakoo Dabi yao ya kwanza | H2H, matokeo, rekodi
Yanga SC vs Simba SC Septemba 16 2026 wanatarajiwa kukutana uwanjani zimebaki siku tatu. Huu ni mchezo wa Ngao ya Jamii. Timu zote mbili zimekamilisha matamasha yao makubwa ni Simba…
Yanga SC 1-0 Bandari FC kilele Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Mkapa | Highlights, goli, rekodi muhimu
Yanga SC 1-0 Bandari FC mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huu ulikuwa ni hitimisho la kilele cha Wiki ya Mwananchi Septemba 12 2025. Kampuni ya…
