Furahia mchezo wa CHILLI HEAT- Casino
Ni wiki nyigine tena tunakutana katika kurasa hizi za blog ya SporPesa. Leo tunakuletea mchezo wa Kasino unaojulikana kama Chilli Heat. Mchezo huu kama ilivyo michezo mingine umepewa maudhui ya sherehe ya ki Mexicana. Kwa kiingereza ‘’Theme Party Mexican’’.
Mchezo huu wa Chilli Heat umefuata mfumo wa maduara matano (five reels), safu tatu (3 rows) na mistari 25 ya malipo (25 pay lines).
Kama nilivyoainisha hapo awali usanifu na muundo wa mchezo huu umechukua maudhui au taswira ya sherehe za ki mexicani za mtaani (Mexican Street party theme), ikichombezwa au kuchagizwa na muziki wa kiasili wa Mexico unaoitwa Mariachi na vikorombwezo vyenye mfumo au muundo wa katuni, au vikaragosi kwa Kiswahili.
Ili kuipa mandhari inayofanana na mazingira ya ki Mexicani watengenezaji wamekuwekea mfanano wa hali ya hewa ya joto na mwonekano wa mimea ya Cactus pamoja na miti ya pili pili ya Heat chilli, ili mchezaji ajihisi kama yupo katika mitaa ya Mexico.
ALAMA ZINAZOTAWALA MCHEZO HUU- Chilli Heat
Pale utakapokuwa umechagua kucheza mchezo huu, basi utakutana na alama ambazo ki msingi zinahusika zaidi katika malipo madogo. Hapa nazungumzia alama za A mpaka J, zikifuatana kwa mpangilio, kama ambavyo unazikuta kwenye karata. Alama nyingine ni pamoja na glasi ya Tequilla, chupa ya Tabasco na Mbwa aina ya Chihuahua.
Pia katika mchezo huu, utakutana na mtu amevaa mavazi ya ki asili ya ki utamaduni wa wa wamexicani. Mtu huyu amevalia kofia kubwa ya duara akiwa amevaa kizibao almaarufu kama waistcoat na akiwa anapiga gitaa. Uionapo picha ya lama hii, basi jua hiyo ni alama inayowakilisha malipo makubwa zaidi, kuliko alama yoyote katika mchezo huu wa Chilli Heat.
Kwa uchache alama zote zinazoutawala mchezo huu ni pamoja na Alama ya A, K, Q, J- nyingine zinazohusika katika mchezo huu ni pamoja na picha ya chupa ya Tabasco, picha ya Mbwa aina ya Chihuahua, alama au picha ya mpiga gitaa na alama ya gunia au magunia.
Alama ya mwisho katika mchezo huu ni alama ya moto ambayo ina maneno CHILLI HEAT, ambayo ni moja ya alama kuu za mchezo huu.
ALAMA HIZI ZINAFANYAJE KAZI
Alama Za Herufi A, K, Q NA JM
Kama nilivyotambulisha hapo awali alama za A, K, Q na J hizi ni alama za mchezo wa Chilli Heat lakini zenye malipo ya kawaida, yenye thamani ndogo katika mchezo.
ALAMA YA GLASI YA TEQUILLA, CHUPA YA TABASCO, NA MBWA AINA YA CHIHUAHUA
Ikiwa upo katika mchezo huu na alama hizi zikajitokeza basi utakuwa na bahati na malipo mazuri, kwa kuwa alama hizi zinatambulisha malipo yenye thamani ya juu ama kubwa kwa wachezaji wa mchezo huu wa Chilli Heat.
ALAMA YA GUNIA AU MAGUNIA- Chilli Heat
Katika mchezo huu, kama ilivyokuwa katika michezo mingine alama ya gunia inamaanisha pesa, ambazo ni kama hela taslimu au ‘’Cash prize’’ kwa kizungu. Alama hii utaiona inatokea zaidi katika michezo ya bure free spin, hasa hasa michezo ya ziada ya nyongeza, kwa kifupi Re Spin.
ALAMA YA JUA LA MOTO
Alama ya mwisho katika alama za mchezo huu wa Chilli Heat -ni alama ya Jua la moto ambayo yenyewe ina picha ya duara la moto iliyozungukwa na pili pili na moto kwa juu, kiwa na sura ya kichwa cha mtu mwenye sharubu nyeusi.
Alama hii inahesabiwa kama SCATTER. Alama hii ikitokea zikiwa tatu kwa mpigo zinafanya kazi ya kuhuisha alama ya michezo ya bure. (3 scatter symbols trigger free spin feature) na hivyo kupelekea mchezaji kupata michezo ya bure.
ALAMA YA WILD
Alama hii inawakilishwa na picha ya moto unaowaka ukiwa na maandishi ya WILD. Ikiwa alama hii itatokea wakati mchezo wa kawaida na katika michezo ya nyongeza. Umuhimu wa alama hii upo katika malipo ambayo yapo katika mchezo unaocheza kwa muda huo.
Ikiwa utaona alama hii basi ujue malipo ya nyongeza yatajihuisha katika kila malipo utakayokuwa unapata.
ALAMA ZA BONUS ZA CHILLI HEAT
Kwa kuwa mchezo huu wa Chilli Heat umechukua mandhari ya sherehe ya ki Mexican wabunifu wa mchezo huu wameweka bonus za kuvutia kwa wachezaji. Hapa wasomaji wanatakiwa waelewe michezo ya bure yaani (free Spin), inakuja na Jackpot ya ziada (jackpot Extra) ambayo ikiwa itatokea basi itaambatana ama kufuatana na alama zenye malipo ya juu.
MICHEZO YA NYONGEZA YA BURE YA FEDHA (MONEY RE SPIN FEATURE)
Hapa ndipo alama za magunia zinapofanya kazi kwa ufanisi. Alama hii ya michezo ya nyongeza ya bure ya fedha (money re spin feature) inajihuisha au inahusihwa pale alama kuanzia 6 au zaidi za magunia zinapotua au zitakapokaa katika maduara bila kufuata mpangilio maalumu katika mzunguko mmoja.
Michezo hii ya bure itazunguka katika maduara ambayo yapo matupu na pia yatakayokuwa na magunia matupu tu. Ikiwa alama ya magunia haya matupu yatatokea tena na kugota katika maduara
HITIMISHO
Mchezo huu wa Chilli Heat si mchezo mkali kama jina la ki uhalisia la pili lilivyo. Moja ya advantage ambayo mchezaji wa mchezo huu anaipata ni kwamba michezo ya bure kwa asilimia kubwa ina asilimia kubwa ya kukulipa mchezaji kwa kiwango cha kuridhisha.
Na matumaini yangu mtakuwa mmepata japo mwanga wa kuuelewa mchezo huu ambao unapatikana katika tovuti ya sportpesa.co.tz/casino angalia kitufe kilichoandikwa ‘’popular’’.