NI SIMBA vs RUVU SHOOTING KMC vs SINGIDA BIG STARS NBC PL
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania, NBC Premier League bara inaendelea leo Ijumaa kwa mechi kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu shooting, wakati KMC watawavaa Singida Big Stars. Mchezo wa…
Huku JUVENTUS vs SEVILLA kule AS ROMA vs BAYER LEVERKUSEN nusu Fainali Europa!
Usiku wa Ulaya unaendelea leo hii kwa michezo miwili ya mkondo wa kwanza nusu fainali ya kombe la UEFA Europa kupigwa nchini Italia baina ya Juventus VS Sevilla na As…
YANGA VS MARUMO- Muda Wa Yanga Kungára Africa.
Patashika nguo kuchanika ya kipute cha nusu fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kinashika kasi ambapo kesho Jumatano kuanzia majira ya Saa 10 Jioni, Klabu ya Wananchi Yanga (Tanzania),…
KATI YA REAL MADRID NA MANCHESTER CITY NANI KWENDA FAINALI UEFA?
Kesho Jumanne ya Mei 9, 2023 katika dimba la Santiago Bernabeu nchini Uhispania utapigwa mchezo kabambe wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Ulaya kati…
JACKPOT BONUS YA SPORTPESA YAENDA ZANZIBAR
Waswahili wanamsemo ‘’hakuna linaloshindikana chini ya Jua’’. Hivi ndivyo msemo huu ulioasisiwa na mababu zetu ulivyotimia kwa Seif Kundi Seif, mfanyakazi wa hoteli anayepatikana maeneo ya Amani kisiwani Zanzibar. Kijana…
GREAT RHINO-MCHEZO WA KASINO UNAOLIPA MPAKA 1,200,000,000
Leo katika kuwapa mwanga juu ya michezo ya Kasino ambayo inapatikana katika jukwaa letu la kimtandao la michezo ya burudani ya Kasino katika tovuti ya Sportpesa tunawaletea mchezo wa Great…
Newcastle VS Arsenal -NI VITA YA WABABE WA EPL MSIMU HUU
Kesho katika dimba la St. James Park, Newcastle United watakuwa wanawaalika washika mitutu wa London, klabu ya Arsenal ambao ndio vinara wa Ligi kuu ya England EPL. Newcastle wapo katika…
NUSU FAINALI ASFC- Je Dabi ya Simba na Yanga Kujirudia Fainali?
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefikia hatua ya nusu fainali ambazo zinahusisha vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara Azam FC, Simba SC, Yanga SC…
JE BRIGHTON KUENDELEA KUIKAZIA MANCHESTER UTD
Timu ya Brighton Hove Albion leo usiku inashuka dimbani katika mwendelezo wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, almaarufu kama EPL. Licha ya kufanya vizuri ndani ya msimu huu imeendelea…
