UFAHAMU MCHEZO WA AFRICAN ELEPHANT
SportPesa blog tumerudi tena. Safari hii tumakuja na mchezo mwingine wa Kasino unaokwenda kwa jina la African Elephant. Mchezo huu, kama ilivyokuwa kwa michezo mingine ambayo tumeiangazia siku za nyuma,…
Bado dakika 90 tu YANGA VS RIVERS UTD -Rekodi Iandikwe Africa
Huenda timu ya Wananchi Yanga, siku ya kesho ikaandika rekodi ya kufuzu hatua ya nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, iwapo itakamilisha kazi waliyoianza wiki iliyopita…
JE AS ROMA KUIPIKU AC MILAN KESHO KWENYE SERIE-A
Ligi Kuu ya Italia almaarufu kama Serie A, imefikia patamu, ambapo timu ya AS Roma itachuana na AC Milan katika mwendelezo wa mechi ya ligi kuu ya Italia. Ukiachana na…
Je Simba kuandika historia maya dhidi ya Wydad kimataifa Afrika?
Hatma ya Simba kuandikisha rekodi ya kufuzu kucheza nusu fainali ya Klabu bingwa Afrika itafahamika Ijumaa hii katika dimba la mfalme wa 5 huko nchini Morocco, itakapoumana dhidi ya mabingwa…
TOTTENHAM HOTSPUR VS MANCHESTER UNITED – Ni vita ya epl kuwania top four
Patashika ya Ligi Kuu ya England itaendelea kwa mchezo kati ya Tottenham Hotspurs dhidi ya Manchester United utakaopigwa kwenye dimba la Tottenham mnamo April 27,2023. Mchezo huu ni vita ya…
MANCHESTER CITY VS ARSENAL- Mbabe wa EPL Msimu Huu Kujulikana Etihad.
Heka heka za Ligi Kuu ya England zinaendelea kurindima siku ya kesho. Stori kubwa zaidi ni mchezo baina ya klabu mabingwa watarajiwa ambao ni kati ya Manchester City na Arsenal…
Je Atalanta Kumng’ang’ania Roma na kupanda Serie A?
Leo, Tarehe 24 Aprili 2023, katika dimba la Gewiss, maarufu kama Bergamo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka, kati ya wenyeji Atalanta, ambao watakipiga dhidi ya AS Roma, ikiwa…
JARIBU MCHEZO WA CASINO WA EXTRA JUICY MEGAWAYS
Leo tunawaletea mchezo wa Extra Juicy Megaways. Huu ni mchezo wa kasino jamii ya mashine (slot games), unaochezwa kwa mfumo wa kimtandoa (online gaming), unaopatikana kupitia tovuti yetu ya sportpesa.co.tz.…
RIVERS VS YANGA -NI MECHI YA KISASI
Patashika nguo kuchanika ya michezo ya robo fainali, michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, itaunguruma hapo kesho, ambapo wawakilishi wa Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa na kibarua kizito katika…
