Azam FC vs Simba SCManula Aishi
  • Simba SC iliangusha pointi tatu kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ilipofungwa 2-0 dhidi ya Azam FC
  • Azam FC vs Simba SC Aprili 5, Jumapili, Uwanja wa Azam Complex 2026 NBC Premier League
  • Msimamo wa hivi karibuni NBC Premier League 2025/26
  • Taarifa mpya kuhusu Ellie Mpanzu winga wa Simba SC raia wa Dr Congo


Pata habari za hivi punde Azam FC vs Simba SC, Mzizima Derbi saa 1:00 usiku. Azam FC imecheza mchezo mmoja na Simba SC msimu huu kwenye ligi mzunguko wa kwanza 2025/26. Taarifa za sasa hivi kuelekea mchezo huo utachezwa Uwanja wa Azam Complex. Awali ulitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar.

SOMA HII: NBC Premier League ratiba 2025/26 Aprili | Azam FC vs Simba SC | Yanga SC vs Prisons | Msimamo

Vuna mamilioni sasa hivi

Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini, muda ni wako na nafasi ya ushindi inakusubiri.

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

 Azam FC FC vs Simba SC nani kuibuka na ushindi?

 Azam FC vs Simba SC
Feisal Salum kiungo wa Azam FC. Source: Azam FC

Azam FC vs Simba SC ni mechi ngumu kwa timu zote mbili. Hii inatokana na ubora wa wapinzani hawa. Katika mechi 5 zilizopita sare zilikuwa mbili, ushindi kwa Azam FC mechi moja na Simba SC mbili.

Kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili Azam FC anapewa nafasi kubwa kushinda. Hii inatokana na rekodi ya mzunguko wa kwanza kumbeba. Licha ya uwezekano kushinda kwa wenyeji bado mnyama anahasira kupoteza mchezo wa mzunguko wa kwanza.

H2H Azam FC vs Simba SC

Tazama jedwali la mechi za hivi karibuni kati ya Azam FC vs Simba SC. Hizi ni mechi walizokutana katika NBC Premier League. Kwenye mechi 5, Azam FC akiwa nyumbani alipoteza mechi 2.

TareheMashindanoTimu (H)MatokeoTimu, (A)
Desemba 7, 2025NBC PremierSimba SC0-2Azam FC
Feb 24, 2025NBC PremierSimba SC2-2Azam FC
Sep 26, 2024NBC PremierAzam FC0-2Simba SC
Mei 9, 2024NBC PremierAzam FC0-3Simba SC
Feb 9, 2024NBC PremierSimba SC1-1Azam FC

SOMA HII: Taarifa mpya baada ya Simba SC kushinda dhidi ya Coastal Union (2-0) | Highlights, msimamo, h2h | Clatous Chama

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Msimamo wa NBC Premier League

 Azam FC vs Simba SC
Kapombe kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union. Source: Simba SC.

Tazama jedwali la msimamo wa NBC Premier League ulioboreshwa hivi punde. Azam FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 3. Simba SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili.

POSMPWDLPTS
1.Yanga SC16115038
2.Simba SC15104134
3. Azam FC1688032
4. JKT Tanzania1777328
5.Pamba Jiji FC1667325
6.Singida Black Stars1674525
7.Dodoma Jiji FC1866624
8.Mtibwa Sugar1757522
9.Namungo FC1756621
10.TRA United SC1655620
11.Mashujaa FC1747619
12.Mbeya City1744916
13.Fountain Gate1744916
14.Coastal Union1736815
15.Tanzania Prisons17341013
16. KMC FC1722138

SOMA HII: Azam FC yaivuruga Simba SC yaifunga mara mbili mfululizo/ Kariakoo Dabi hakuna tena

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Taarifa kuhusu mchezaji wa Simba SC Ellie Mpanzu

Mo Dewji na Mpanzu
Mo Dewji na Mpanzu.

Mchezaji wa Simba SC Ellie Mpanzu raia wa DR Congo mwenye miaka 24 kuna uwezokano mkubwa akakosekana kwenye mchezo wa kesho. Mpanzu aliongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kukitumikia kikosi cha mnyama. Alikosekana mchezo ulipita dhidi ya Coastal Union.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema mchezaji bado ana mkataba na timu hiyo. Alibainisha kuwa wale wanaosema amegoma hilo sio kweli kwani hakuna madai. Aliongeza kuwa kila kitu kipo sawa.

“Ellie Mpanzu ana mkataba na Simba SC. Huyu ni mchezaji halali kabisa. Hakuna madai kuhusu stahiki zake za mkataba mpya kwa kuwa mkataba wake unaisha mwezi wa 8. Mkataba alioongeza bado hajaanza kuutumia,”.

SOMA HII: Elie Mpanzu Kibisawala ni Simba SC 2025/26/ Rekodi na magoli / Dili lake Yanga SC

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Hitimisho

Azam FC FC vs Simba SC wababe wawili wanaowania nafasi ya pili kazini. Mshindi kwenye mchezo huo atajenga ngome kwenye nafasi hiyo. Je Azam FC wataishusha Simba SC hapo?

Share this: