skip to Main Content
GREAT RHINO-MCHEZO WA KASINO UNAOLIPA MPAKA 1,200,000,000
Great-Rhino-Megaways

GREAT RHINO-MCHEZO WA KASINO UNAOLIPA MPAKA 1,200,000,000

Leo katika kuwapa mwanga juu ya michezo ya Kasino ambayo inapatikana katika jukwaa letu la kimtandao la michezo ya burudani ya Kasino katika tovuti ya Sportpesa tunawaletea mchezo wa Great Rhino Megaways.

Mchezo huu kama michezo mingine iliyopita, iliyoakisi maisha ya mbugani unakupa zaidi ya njia Milioni 2 za kukuwezesha kushinda mchezo huu wa mashine uliohamishiwa kwenye mfumo wa kimtandao.

Watengenezaji wa mchezo huu Megaways wanaeleza kwamba kuna njia mbali mbali za malipo zikianzia na duara la ziada (extra Reel) pamoja na alama ya metetemo (infinite Tumble Feature) isiyo na kikomo.

ALAMA KUU YA MCHEZO (MAIN GAME FEATURE)

Kwa kuanzia tuanze na alama kuu inayotumika katika mchezo huu ambayo ni Faru (Rhino). Faru ndio mnyama mkuu ambaye ndiye ametumika kama nembo ya mchezo. Faru huyu ndiye kwenye mchezo huu anahesabika kama alama ya ‘’WILD’’.

ANGALIZO

Katika maelezo haya ya alama ya Faru lazima niwaambie kwamba alama ya Faru inatumika kwa namna mbili katika mchezo huu wa Great Rhino. Namna ya kwanza ni picha ya Faru yenye maandishi ya WILD. Namna ya pili ni picha ya kichwa cha Faru katika sarafu ya dhahabu. Hii inatumika kama SCATTER ama alama zinazosababisha michezo ya bure.

Kwa maana hiyo popote utakapoiona picha ya Faru, basi ujue umepata alama ambayo inaweza jihuisha na alama zingine zote kasoro alama ya michezo ya bure.

Pia katika mchezo huu utakutana na alama ya Faru ndani ya sarafu ya dhahabu maana yake ni kwamba hiyo ni alama inayojulikana kwa jina SCATTER ambayo kazi yake ni kusababisha (trigger) michezo ya bure.

Ikiwa katika mchezo unaoucheza kwa wakati huo alama hii ya Faru ikatokea basi kutokana na aina ama mpangilio wa alama nyingine zilivyo na yenyewe itajihuisha na kuwa sehemu ya Alama ambayo zipo nyingi zaidi ya nyingine zote.

ALAMA NYINGINE

Ukiachia na alama ya Faru ambayo ndiyo alama kuu ya mchezo, alama za wanyama Chui, Sokwe, Fisi, Mamba na ndege aina ya Flamingo ni sehemu ya alama za mchezo huu zikiwakilisha malipo  makubwa na ikitokea mmoja kati ya wanyama hawa wakatokea sita kwa mpigo basi mchezaji utapata malipo ya X50 ya dau lako.

Pia katika mchezo huu wa Sportpesa Kasino alama za herufi JKAQ nazo ni sehemu ya mchezo huu wa Great Rhino Megaways. Alama hizi ndio zile alama zenye malipo madogo kabisa. Na ikiwa zitatokea wakati unazungusha mchezo basi malipo yake ni sawa na X1 ya dau uliloweka.

MICHEZO YA BURE (FREE SPINS)

Katika mchezo huu wa Kasino michezo ya bure imegawanyika katika makundi mawili kama ambavyo michezo mingine tuliyoiangaza hapa inavyofanya.

Aina ya kwanza ni michezo ya bure inayotokana na mchezo mama unaoanza nao wakati unaanza kucheza, yaani (base game).  Michezo ya bure itapatikana pale alama kuanzia nne za Scatter (vichwa vya Faru kwenye sarafu ya dhahabu) zitakapojitokeza na kujipanga mahali popote kwenye maduara. (Land anywhere on the reels) .

Pale utakapofanikiwa kupata michezo ya bure scrini yako itabadilika mwanga na kuwa mwanga mweusi wa giza la usiku na utapata nafasi ya kuchagua moja kati ya machaguo manne. Chaguo la kwanza nia la michezo 15 ya bure, ambayo ushindi wowote utakaoupata utazidishwa X1.

Chaguo la pili ni la michezo 10 yenye kuzidishwa X 5 ya dau lako, katika ushindi wako kwenye mchezo wa bure.

Chaguo la tatu ni michezo 5 ya bure yenye kuzidishwa X10 ya dau lako katika kila ushindi wako.

Na Chaguo la nne na la mwisho, hili ni chaguo la kushtukiza lenye namba zisizo na mpangilio wa michezo ya bure na kiwango cha malipo kisichotabirika.

Kuna pia aina ya pili ya michezo ya bure ambayo iliyopewa jina la chaguo la bashiri ya Ante (Ante Bet Option).

Kama tulivyo ongelea Ante Bet, hizi ni bashiri za kupandisha dau ili kukomboa kile ambacho mchezaji umeliwa au kupata zaidi. Michezo hii ya bure itakulazimu kupandisha dau lako la mchezo wa kawaida kwa asilimia 25 ya kile unachokicheza muda huo kabla ya kupandisha.

Mathalan unacheza kila mzunguko mmoja kwa Tsh 500, maana yake itakupasa kupandisha dau lako kutoka Tshs 50 mpaka 1250. Hapo faida yake kwako mchezaji itakuwa utapata alama za ziada za SCATTER (vichwa vya faru kwenye sarafu ya dhahabu) na nafasi nzuri ya michezo ya bure kujihusisha mara kwa mara. Kitendo ambacho kitapelekea malipo mazuri zaidi.

Kwa kumalizia mchezo huu ni moja ya michezo inayopatikana katika Sportpesa Kasino na pia ni moja ya michezo inayolipa vizuri sana. Mchezo huu ukicheza kwa Tshs 50,000 kwa kila bet una malipo ya mpaka 1,200,000,000. (Bilioni moja na milioni mia mbili).

Upewe nini tena.

 

 

Share this:
Back To Top