Ni FIORENTINA dhidi ya WEST HAM-Katika Fainali ya UEFA Conference League
Kesho Jumatano ya Juni 7,2023 majira ya saa nne usiku katika dimba la Eden Arena kwenye Jiji la Prague, Czech utapigwa mtanange wa fainali ya michuano ya kombe la Uefa…
Kesho Jumatano ya Juni 7,2023 majira ya saa nne usiku katika dimba la Eden Arena kwenye Jiji la Prague, Czech utapigwa mtanange wa fainali ya michuano ya kombe la Uefa…
Ligi Kuu ya Tanzania bara inakaribia kumalizika ambapo kesho Juni 6 pamoja na Ijumaa Juni 9,2023 timu zote 16 zitashuka dimbani kusaka ushindi ambao unaweza kubadili msimamo lakini pia kuboresha…
Mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho itapigwa kesho Jumamosi kwenye dimba la Omar Hamadi, jijini Algiers, lenye uwezo wa kuchukua mashabiki 17,500 watakaowashuhudia USM Alger wakiwaalika timu ya Wananchi,…
Play Aviator today and win your share of $10,000 daily.
Leo usiku kuanzia majira ya Saa 3, kwenye dimba la Puskas Arena Jijini Budapest nchini Romania, itapigwa fainali ya michuano ya Europa ikizikutanisha Sevilla ya Hispania na AS Roma ya…
Patashika ya kuusaka Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uturuki itaendelea Jumanne hii ya Mei 30,2023 kwa mechi kati ya timu ya Ankaragucu watakapowakaribisha timu ya Galatasaray. Vita kubwa kwa sasa…
Patashika ya mchezo wa fainali ya Play Offs ya timu za League One, itafikia tamati usiku wa leo, ambapo timu ya Barnsley watakabiliana na Sheffield Wednesday, katika uwanja wa Wembley…
Kesho kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam, historia itaandikwa wakati Yanga ya Tanzania itakapowaalika miamba ya soka kutoka Algeria, USM Alger katika pambano la fainali mchezo wa…
Licha ya kwamba bingwa wa ligi ya Uhispania La Liga ameshapatikana, ambayo ni timu ya Barcelona, jambo moja la kusisimua lipo kwenye kinyang’anyiro cha kumalizia katika nafasi mbili zinazofuata. Utamu…