Manchester United wanahitaji points 1 tu kwa Chelsea.
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Usiku wa leo katika dimba la Old Trafford patapigwa mechi kali kati ya wenyeji Manchester United watakaowakaribisha timu ya Chelsea kutoka Magharibi mwa jiji la London. Hii ni mechi ambayo…
Unaweza ukasema bahati haina mwenyewe. Hivi ndivyo msemo wa Kiswahili ulivyotimia kwa mmoja wa washindi wetu wa Jackpot bonus ya kati kati ya wiki Maria kalosi Gwimile. Mwanamke huyu ameshinda…
Patashika ya Ligi Kuu ya England inaendelea leo hii, ikiwa inajulikana zaidi kama mechi za ligi ya EPL za lala salama, kwa mchezo mkali unaobeba maamuzi mazito ya timu mbili…
Leo ndio siku ambayo mpira wa Afrika, utashuhudia moja kati ya mechi bora kabisa za mpira wa miguu katika ngazi ya vilabu Afrika ikipigwa kule Africa Kusini kati ya Mamelodi…
Timu ya mpira wa miguu ya Al Ahly Cairo, leo wanashuka uwanjani kupambana na Esperance ya Tunsia katika mechi ya marudiano ya kombe la klabu bingwa Afrika, baada ya mechi…
Klabu ya Manchester City leo usiku itashuka katika dimba la Etihad kupambana na timu ya Real Madrid, katika mchezo wa pili wa wa michuano ya Kombe la Klabu bingwa barani…
Kimbembe cha mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, kitapigwa Mei 17, 2023 ambapo timu ya Marumo Gallants, watakuwa nyumbani nchini South Africa wakijaribu kupindua matokeo…
Klabu ya Polisi Tanzania leo alasiri inatimba uwanjani kupambana na timu ya Mtibwa Sugar, katika uwanja wa Ushirika Moshi, katika mechi za kumalizia msimu wa ligi kuu ya soka Tanzania,…
Leo tunakuletea moja kati ya michezo pendwa ambayo ni rahisi sana kucheza unaokwenda kwa jina la SPACEMAN. Mchezo huu unapatikana si kwingine bali katika kurasa ya tovuti yetu ya sportpesa.co.tz…