- Dodoma Jiji FC vs Yanga SC NBC Premier League, Mei 13, 2026 Uwanja wa Airtel
- Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC ni matokeo ya mchezo uliopita walipokutana
- H2H za Dodoma Jiji FC vs Yanga SC tumekuletea hapa na msimamo
Dodoma Jiji FC vs Yanga SC NBC Premier League ni leo Mei 13, 2026 Uwanja wa Airtel. Wababe hawa wamekutana mara moja kwenye ligi msimu huu na matokeo yalikuwa Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC. Saa 10:15 jioni wababe hawa watakuwa kwenye mpambano mkali.
SOMA HII: Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC NBC Premier League/ Highlights, stats
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege.

Dodoma Jiji FC vs Yanga SC NBC Premier League ni leo

Mchezo mkali Dodoma Jiji FC vs Yanga SC NBC Premier League ni leo katika ligi namba 6 kwa ubora. Wananchi ni vinara wakiwa hawajapoteza mchezo hata mmoja baada ya mechi 22. Wanakutana na walima zababu waliopoteza mechi 7 2025/26.
Zinakutana timu mbili zilizotoka kupata matokeo ya aina tofauti kwenye mechi zilizopita kwenye ligi. Wageni ilikuwa Yanga SC 3-0 Coastal Union huku wenyeji wakivuna pointi moja kwa ubao kusoma Pamba Jiji FC 0-0 Dodoma Jiji FC. Je Wananchi wataendeleza ubabe ama wenyeji watatibua rekodi hiyo?
SOMA HII: Yanga SC: Historia, Usajili wote, kikosi, Ratiba, Matokeo na Takwimu

Msimamo Dodoma Jiji FC vs Yanga SC
| Nafasi | Timu | Mechi | Magoli Kufunga | Magoli Kuruhusu | Pointi |
|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Yanga SC | 22 | 50 | 5 | 54 |
| 8 | Dodoma Jiji FC | 22 | 19 | 21 | 29 |
Dodoma Jiji FC ina wastani mdogo kwenye safu ya ushambuliaji katika kufunga magoli. Yanga SC ina wastani wakufunga magoli mawili kwenye kila mchezo. Upande wa safu ya ulinzi wananchi wameruhusu magoli 5 wenyeji wakiruhusu 21.
H2H Dodoma Jiji FC vs Yanga SC
| Tarehe | Timu Nyumbani | Matokeo | Timu Wageni |
|---|---|---|---|
| 27/01/2026 | Yanga SC | 3-1 | Dodoma Jiji FC |
| 22/06/2025 | Yanga SC | 5-0 | Dodoma Jiji FC |
| 25/12/2024 | Dodoma Jiji FC | 0-4 | Yanga SC |
| 22/05/2024 | Dodoma Jiji FC | 0-4 | Yanga SC |
| 05/02/2024 | Yanga SC | 1-0 | Dodoma Jiji FC |
| 13/05/2023 | Yanga SC | 4-2 | Dodoma Jiji FC |
| 22/11/2022 | Dodoma Jiji FC | 0-2 | Yanga SC |
| 15/05/2022 | Dodoma Jiji FC | 0-2 | Yanga SC |
| 31/12/2021 | Yanga SC | 4-0 | Dodoma Jiji FC |
Dodoma Jiji FC kwenye mechi 9 rekodi zinaonyesha kuwa safu ya ushambuliaji imefunga magoli 3 peke. Yanga SC imekuwa imara kwenye mechi zilizopita kwa kupata matokeo. Wananchi wamekuwa na nidhamu kwenye ufungaji wakipata ushindi wa magoli mengi kwenye mechi zilizopita.
SOMA HII: Yanga SC bado ipo kazini, ratiba ya NBC Premier League, msimamo wa 5 bora
Hitimisho
Dodoma Jiji FC vs Yanga SC NBC Premier League ni leo burudani inatarajiwa kushuhudiwa. Bingwa mtetezi atakuwa ugenini, Singida. Je nani ataibuka na ushindi? Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

