- SportPesa Blog imekuandalia ratiba ya mechi zilizobakia za Simba SC kwenye NBC Premier League 2025/26
- Wanasimba SC wamekadiriwa kugusa michezo kadhaa kwenye ratiba yao ya ligi kuu ya bara ikiwemo; Mashujaa FC vs Simba SC, Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Coastal Union vs Simba SC.
- Ratiba ya Simba SC inaonekana kuwa yakukata na shoka huku wakiendelea kuleta upinzani kwa Yanga SC kwenye NBC Premier League.
Kwenye nakala hii tumekuandalia ratiba ya Simba SC kwa mechi zilizobakia katika mashindano ya NBC Premier League. Mechi za mnyama zinaonekana kuwa za kukata na shoka kwa kuwa bado wanapigania kombe la ligi kuu ya bara kutoka kwa mpinzani wake wa karibu Yanga SC. Haya ndiyo yalikuwa maoni ya Steve Barker, kocha mkuu wa Simba SC, “kuna kazi kubwa kuwania ubingwa wa ligi kutokana na ushindani uliopo kwa sasa,”.
SOMA HII: Orodha ya wachezaji wa ligi wanaowindwa Bongo na Ulaya
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Fahamu ratiba ya Simba SC na mechi zilizobakia kufunga msimu wa NBC Premier League 2025/26

Hizi hapa ndio ratiba za Simba SC za mechi zilizobakia NBC Premier League 2025/26.
| Tarehe | Mechi | Uwanja / Mahali |
| 14 Mei 2026 | Mashujaa FC vs Simba SC | Lake Tanganyika Stadium |
| 18 Mei 2026 | Simba SC vs Dodoma Jiji | KMC Complex |
| 21 Mei 2026 | Coastal Union vs Simba SC | Mkwakwani Stadium, Tanga |
| 14 Juni 2026 | Simba SC vs Pamba Jiji FC | KMC Complex |
| 18 Juni 2026 | Mbeya City vs Simba SC | Ugenini |
| 24 Juni 2026 | Mtibwa Sugar vs Simba SC | Ugenini |
| 27 Juni 2026 | Simba SC vs Singida Black Stars | KMC Complex |
| 30 Juni 2026 | Simba SC vs KMC | KMC Complex |
SOMA HII: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto | Msimamo, Mzizima Dabi, Kariakoo Dabi

Ratiba ya mechi zilizobakia za Simba SC
Simba SC atakuwa ugenini kwenye mechi tano ndani ya mzunguko wa pili. Mechi tatu atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu. Kampeni ya ugenini itaanza Mei 14, 2026 dhidi ya Mashujaa FC mwisho wa reli Kigoma.
SOMA HII: Mapya sakata la Jonathan Sowah amerejeshwa Simba SC na kupelekwa U 20
Hitimisho
Ratiba ya Simba SC kwa mechi zilizobakia katika mashindano ya NBC Premier League 2025/26 ni moto wa kuotea mbali. Mechi ijayo kwa Simba SC watacheza dhidi ya Mashujaa FC huku Simba SC vs Singida Black Stars inatarajiwa kuwa mechi kali. Fuatilia SportPesa Blog ili uweze kupata taarifa za sasa kuhusu Simba SC ikiwemo msimamo, takwimu, wafungaji na matokeo.

