Washindi wa Jackpot bonus ya SportPesa wafungukia ushindi wao.
Washindi wa Jackpot bonus ya SportPesa wafungukia ushindi wao. BAADA ya kufanikiwa kujishindia mamilioni ya Jackpot bonus ya SportPesa, washindi watatu wameibuka na kufungia ushindi wao. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Sixbert Ndimbo mkazi wa Ruvuma ambaye mfanyabiashara alisema kuwa…