UFARANSA VS UHOLANZI- Ubashiri wako Unauweka wapi?
Ijumaa ya Tarehe 24, majira ya saa 4: 45 usiku, timu ya taifa ya Ufaransa itawakaribisha Uholanzi kwenye Uwanja wa The Stade De France, jijini Paris. Ufaransa watakuwa nyumbani, kama…
ITALIA VS UINGEREZA -NI MSHIKE MSHIKE KUFUZU EURO 2024
Siku ya Alhamisi ya wiki hii, barani ulaya patakuwa hapatoshi , wakati timu ya taifa ya Italia itakapoikaribisha timu ya taifa ya Uingereza kwenye Uwanja wa Diego Armando Maradona katika…
SportPesa watoa MILIONI 56,383,640 kwa Abibu kama Bonus ya Supa Jackpot!
MILIONI 56,383,640 ZA SUPA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA ZAENDA BAGAMOYO. Ukisikia bahati ya mtende ndio hii. Mfugaji kutoka kata ya Migude, Bagamoyo Abibu Mauridi Omari, ameshinda Sh 56,383,640, kama bonasi…
HUKU GHANA VS ANGOLA, KULE RAJA VS SIMBA
Mechi za kimataifa ndio hivyo zimerudi tena. Kuanzia siku ya Jumatano wiki hii, mpaka mwisho wa mwezi huu, viwanja vingi vya mpira vitakuwa vinashughuli za kimechezo za mechi za kimataifa…
UNASHIRIKI VIPI PROMOSHENI YA DROP AND WIN- WOLF GOLD?
JINSI YA KUSHIRIKI. Shiriki kwa kucheza na upate nafasi ya kushinda zawadi nono/kubwa ya promosheni yetu ya “Drop n Win’’. Kama ilivyo ada yetu SportPesa, leo tunakuelewesha namna ya kucheza…
Simba, Yanga nani kusonga mbele kimataifa?
KATI YA SIMBA NA YANGA NANI KUSONGA MBELE KIMATAIFA? Ikiwa ni masaa machache kabla ya kipenga cha michezo kati ya Simba na Horoya kupulizwa, vuguvugu mtaani limekuwa ni timu gani…
UNAINGIAJE WIKIENDI BILA KUWEKA MKEKA NA SPORTPESA-MPIRA
Wikiendi ndio hivyo inaanza leo ambapo, viwanja mbali mbali vinategemewa kuwa na shughuli mbali mbali za kimichezo hasa hasa mpira wa miguu ambao unafuatiliwa na mamilioni ya watanzania katika pembe…
TIMU GANI KWENDA ROBO FAINALI EUROPA LIGI LEO
TIMU GANI KWENDA ROBO FAINALI EUROPA LIGI LEO Leo ni siku nyingine adhimu ya kimichezo, hasa hasa mchezo wa mpira wa miguu, ambapo mechi za ligi ya Europa, mzunguko wa…
