skip to Main Content
Screenshot- - - -at-
Screenshot- - - -at-

UNAPENDA MICHEZO YA KASINO- SPORTPESA NDIO JIBU

Karibu katika kurasa ya tovuti ya kasino ya SportPesa Tanzania, ambapo hapa, utapata kujua aina mbalimbali za michezo ya kasino. Ikiwa wewe ni mchezaji mzoefu, au mgeni kwenye ulimwengu wa michezo ya mtandaoni, kasino yetu inakupa machaguo ya kila aina.

Kasino yetu inajivunia orodha pana ya michezo, ikiwa ni pamoja na michezo ya mezani kama vile roulette, baccarat, pamoja na Blackjack. Michezo yetu imebuniwa na watengenezaji bora katika tasnia, kuhakikisha kuwa wanatoa ubora wa hali ya juu na mchezo wa haki.

Ukiwa na Kasino App ya Sportpesa unaweza kuchagua na kupata michezo mbali mbali uipendayo kama vile Spaceman, Shining Hot 40, Wolf Gold, Fire Strike 2, Gems of Serengeti na mingineyo mingi. Kwa namna ambavyo mfumo wa michezo ya kasino ya SportPesa ulivyobuniwa, unaweza kupata michezo yako yote pendwa ya kasino katika kiganja cha mikono yako, popote pale utakapokuwa.

Kama wewe ni mpenzi au shabiki wa michezo ya kasino ya machine (Slot Games), tumekuwekea michezo mbali mbali ambayo ina mvuto wa aina yake kutokana na aina ya michoro bunifu, Kwa maana ya graphics- zilivyotumika, majina ya michezo na aina ya bonus unazoweza kushinda.

SportPesa Kasino inakupa michezo ya kisasa, kutoka ile yenye mizunguko mitatu, katika mfumo wa kizamani wa machine, mpaka mfumo wa kisasa wa mistari mitano, unaotumia Video. Hii ndio maana halisi ya kile tunachokisema, ‘’tuna machaguo tofauti kwa kila mtu’’.

Kwa wale wenye uzoefu, au wanaopenda kucheza katika kasino halisi, michezo yetu ya kasino, inakuwezesha upate mandhari inayofanana na kasino halisi, haijalishi kama utakuwa nyumbani au la.

Moja kati ya vitu vya kuvutia, katika mfumo wa kasino ya SportPesa, ni kwamba, mchezaji atajihisi yupo mubashara (live)akichezeshwa na wabobevu, wenye utaalamu wa hali ya juu, katika michezo ya Kasino.Hii inachagizwa zaidi na picha nzuri, ambazo zinakupa mandhari ya mchezo halisi na ya kuvutia.

Kama tulivyowajulisha hapo awali, promosheni yetu yetu ya Drops & Wins inatoa nafasi ya wachezaji kushinda zawadi kubwa kila siku. Unaweza kushinda hadi TZS 22,500,000 kila siku. Tuzo yetu ya wiki ni TZS 155,000,000.

Ikiwa una bahati, unaweza kuondoka na kiasi cha pesa kitakachobadilisha maisha yako.

Kwa wale wanaopenda michezo ya Kasino ya mezani, SportPesa imekuwekea mchezo wa blackjack, roulette, na baccarat, ambayo inakupa nafasi ya kujaribu uwezo wako dhidi ya michezo hii.

Kwa wale wanaopenda michezo ya kompyuta kama eSport, Virtual na SportPesa imekuwekea michezo ya kisasa iliiyoboreshwa zaidi.

Unapenda-kasino-picUnaweza kucheza michezo yetu ya kasino kupitia kompyuta yako ya mezani, kompyuta ya Drop n Win wanaweza kushinda mpaka 22,500,000 kwa siku, na Sh 155,000,000 kwa wiki.

Shiriki kwa kucheza na upate nafasi ya kushinda zawadi nono/kubwa ya promosheni yetu ya “Drop n Win’’.

Hatua ya Kwanza

Ingia kwenye akanti yako ya kasino ya SportPesa na kisha weka pesa.

Kama utakua na pesa tayari katika akaunti yako, unaweza kuendelea kwa hatua ya pili ya kuchagua mchezo unaoupenda.

Hatua ya pili

Angalia katika tovuti yetu mchezo wowote wenye alama ya ”Drop n Win”.

Hatua ya tatu

Michezo inayotumika kwenye promosheni ya ”Drop n Win” inabadilika kila baada ya wiki kadhaa, hivyo kuwa makini kuangalia kila mara, ni aina gani ya michezo yako pendwa imewekwa kweye listi.

Hatua ya nne

Bonyeza kitufye cha ‘’join all’’ katika kipande cha meseji ya “Drop n Win” kinacho ibuka mbele ya skrini yako.

Hatua ya tano

Cheza mchezo wowote utakakaouona unakuvutia. Hakuna kiwango cha chini kinachohitajika ili uweze kujishindia zawadi nono.

Kiwango cha juu cha zawadi ni sh 155,000,000 kila wiki. Washindi watawekewa pesa zao moja kwa moja kwenye akaunti zao au baada ya masaa 72.

Pesa hizi zitaweza kutolewa muda wowote kama pesa taslimu. 

Upewe nini tena na SportPesa. Kucheza nasi tembelea Sportpesa.co.tz bonyeza kitufe cha Kasino

Kufahamu zaidi kuhusu Michezo ya kasino bofya hapa.

Share this:
Back To Top