UNASHIRIKI VIPI PROMOSHENI YA DROP AND WIN- WOLF GOLD?
JINSI YA KUSHIRIKI.
Shiriki kwa kucheza na upate nafasi ya kushinda zawadi nono/kubwa ya promosheni yetu ya “Drop n Win’’.
Kama ilivyo ada yetu SportPesa, leo tunakuelewesha namna ya kucheza ama kujiunga na promosheni ya ‘’Drop N Win”. Kushiriki ni rahisi. Fuata hatua zifuatazo
Hatua ya Kwanza
Ingia kwenye akanti yako ya kasino ya SportPesa na kisha weka pesa.
Kama utakua na pesa tayari katika akaunti yako, unaweza kuendelea kwa hatua ya pili ya kuchagua mchezo unaoupenda na kama huna basi weka pesa kwenye akaunti yako na kisha endelea na haute ya pili.
Hatua ya pili
Angalia katika tovuti yetu mchezo wowote wenye alama ya ”Drop n Win”.
Hatua ya tatu
Michezo inayotumika kwenye promosheni ya ”Drop n Win” inabadilika kila baada ya wiki kadhaa, hivyo kuwa makini kuangalia kila mara, ni aina gani ya michezo yako pendwa imewekwa kweye listi.
Hatua ya nne
Bonyeza kitufye cha ‘’join all’’ katika kipande cha meseji ya “Drop n Win” kinacho ibuka mbele yakifaa chako(simu au kompyuta) yako.
Hatua ya tano
Cheza mchezo wowote utakaouona unakuvutia.
Hakuna kiwango cha chini kinachohitajika ili uweze kujishindia zawadi nono.
Kiwango cha juu cha zawadi ni sh 155000,000 kila wiki. Washindi watawekewa pesa zao moja kwa moja kwenye akaunti zao au baada ya masaa 72.
Pesa hizi zitaweza kutolewa muda wowote kama pesa taslimu.
MOJA YA MICHEZO YA DROP n WIN- WOLF GOLD
Baada ya kukuelekeza hatua za namna ya kushiriki promosheni ya ‘’Drop and Win’’, leo tunakutambulisha mchezo mmoja wapo kati ya michezo mingi iliyopo katika promosheni hii ya ‘’Drop and Win’’.
Mchezo huo unaitwa ‘’Wolf Gold’’.
Mchezo huu ni kama stori ya mbwa mwitu walioingia mawindoni kutafuta dhahabu.
Kikubwa cha kuzingatia katika mchezo huu, ni kuangalia, pale utakapokuwa umeanza kucheza, ni vitu gani muhimu, vinatokea kwenye scrini yako.
Wakati mchezo unaanza kucheza utaona mistari mitano yenye viboksi 15 vyenye sura za wanyama kama Mbwa Mwitu, Tai, Ngómbe, na Chui, wakipita kwenye mistari inayopishana ikiwa inazunguka juu, chini, chini juu.
MALIPO
Ikiwa wakati unacheza mchezo huu zikatokea sura za Mbwa Mwitu (Wolf gold), zilizogota kwenye mistari yote mitano, na ukapata alama ya mngáo wenye maandishi ‘’Free Spin’’ (mizunguko ya bure) basi kutatokea viduara katika viboksi vyote 15, vikionyesha pesa unacholipwa katika kila kiboksi kwenye kila mstari.
Na ikiwa mstari wa pili, na watatu, na wa nne, ikazunguka kwa pamoja kama alama kubwa, alama ya Mwezi itatokea na kupelekea mizunguko ya bure kujirudia.
Wakati huo malipo yote yakijijumlisha kwa pamoja yanakupa fursa ya kushinda moja kati ya Jackpot tatu za malipo makubwa.
Malipo yote yatategemea na dau uliloliweka. Katika mchezo huu SportPesa tumeweka kiwango cha chini cha dau la kucheza kuwa Sh 25 na kiwango cha juu cha kuweka dau lako kuwa 62,500.
Hii inamaanisha kiwango cha juu cha ushindi katika mkupuo mmoja wa mchezo huu wa ‘’Wolf Gold’’ kuwa Sh 155, 250,000, ikimaanisha mchezo huu unakupa nafasi ya kushinda kwa kiwango cha dau lako uliloweka ukizidisha (X) 2500.