Singida Black Stars waonja joto ya jiweLusajo Mwaikenda
  • Alama za hivi punde za mpira wa miguu kati ya Singida Black Stars vs Azam FC kwenye Ligi Kuu
  • Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC Aprili Mosi, 2026, Uwanja wa Airtel
  • Usajili wa Feisal Salum unalipa afunga goli la ushindi kwa pasi ya Idd Nado
  • Ayoub Lyanga amewafunga waajiri wake wa zamani goli moja dakika ya 70, (Singida Black Stars 1-2 Azam FC)

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC. Ni kwenye mchezo wa NBC Premier League Aprili Mosi 2026, Uwanja wa Airtel. Singida Black Stars 1-2 Azam FC matokeo rasmi kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups

Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets----Mil-jpg

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum. Source: Azam FC.

Licha ya kuwa wapo nyumbani Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC. Kichapo cha magoli mawili kimewalaza na viatu wakipishana na pointi 3 muhimu. Magoli kwenye mchezo huyo yote yalifungwa kipindi cha pili.

Usajili wa Feisal Salum unalipa

Usajili wa kiungo Feisal Salum ambaye alijiunga na Azam FC akitokea Yanga SC unalipa kutokana na kazi anayofanya. Goli alilofunga kiungo huyo lilikuwa ni muhimu kwa kuipa timu yake pointi tatu. Hilo linakuwa ni goli la 7 kwa kiungo huyo aliyekuwa akitajwa kupigiwa hesabu na Simba SC kwenye tetesi.

Ikumbukwe kwamba dakika 45 za mwanzo ilikuwa Singida Black Stars 0-0 Azam FC. Kipindi cha pili hali ilibadilika, dakika ya 50 kupitia kwa Lusajo Mwaikenda na dakika ya 63 Feisal Salum alifunga goli la pili. Ni Ayoub Lyanga alifunga goli pekee kwa Singida Black Stars dakika ya 70.

Kiungo wa Azam FC, Idd Nado alichaguliwa kuwa mchezaji bora. Hiyo ilitokana na kazi aliyofanya kuhusika kwenye magoli yote mawili. Alitoa pasi ya goli kwa Lusajo na Feisal katika mchezo huo.

Takwimu za mchezo wa Singida Black Stars vs Azam FC

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe
Singida Black Stars vs Azam FC, NBC Premier League. Source: Azam FC.
Singida Black Stars Azam FC
9Mashuti13
5Lenga lango8
50%Umiliki50%
4Mashuti yasiyolenga lango5
0Kadi nyekundu0
1Kadi ya njano4
3Kona2
1Magoli2

H2H Singida Black Stars vs Azam FC

01/04/2026, Singida Black Stars 1-2 Azam FC 03/12/2025, Azam FC 0-0 Singida Black Stars
06/04/2025, Singida Black Stars 1-0 Azam FC
28/11/2024, Azam FC 2-1 Singida Black Stars
21/04/2024, Azam FC 1-0 Singida Black Stars
04/11/2023, Singida Black Stars 1-3 Azam FC
13/03/2023, Singida Black Stars 1-0 Azam FC
31/10/2022, Azam FC 1-0 Singida Black Stars
11/03/2021, Azam FC 3-0 Singida Black Stars
20/10/2020, Singida Black Stars 0-2 Azam FC

Mechi zijazo NBC Premier League 2025/26

TareheTimu mwenyeji Timu mgeniUwanja na muda
Aprili 3,2026Dodoma Jiji FCvsFountain GateAirtel, Singida saa 08:00 mchana
Aprili 3,2026Mbeya CityvsKMCTanzanite Kwaraa, Manyara, saa 10:15 jioni
Aprili 4, 2026Mashujaa FCvsPamba JijiLake Tanganyika, saa 10:00 jioni
Aprili 4, 2026Yanga SCvsTanzania PrisonsKMC Complex, saa 12:30 jioni
Aprili 4, 2026Namungo FCvsJKT TanzaniaMajaliwa, saa 9:00 usiku
Aprili 5, 2026TRA UnitedvsSingida B.SSheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni
Aprili 5, 2026Azam FCvsSimba SCAzam Complex, saa 1:00, usiku
Aprili 6, 2026Coastal UnionvsMtibwa SugarMkwakwani,Saa 1:00 usiku

SOMA HII: Mashujaa FC yaibana Azam FC NBC Premier League/ Highlights, statics, standings

Sportpesa Aviator- 800Mil

Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe
Ayoub Lyanga akifunga goli dhidi ya Azam FC. Source: Singida Black Stars.
POSMPWDLPTS
Yanga SC16115038
Azam FC1688032
Simba SC1494131
4. JKT Tanzania1777328
5.Pamba Jiji FC1667325
6.Singida Black Stars1674525
7.Mtibwa Sugar1757522
8.Namungo FC1756621
9.Dodoma Jiji FC1756621
10.TRA United SC1655620
11.Mashujaa FC1747619
12.Fountain Gate FC1644816
13.Coastal Union1636715
14.Mbeya City1634913
15.Tanzania Prisons17341013
16. KMC FC1622128

UFUNGUO

POS- Nafasi

MP- Mechi zilizochezwa

W- Ushindi

D- Sare

L- Poteza

PTS- Pointi

SOMA HII: Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby/ Highlights, standings, statics

Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets----Mil-jpg

Hitimisho

Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC baada ya kupoteza pointi 3. Ushindi huo unawapandisha matajiri wa Dar mpaka nafasi ya pili wakiishusha Simba SC. Wenyeji wanabaki nafasi ya sita wakipoteza mechi 5.

Share this: