- Mchezo wa Kariakoo Dabi baina ya Simba SC vs Yanga SC utapigwa Mei 3, 2026
- Mechi hii dhidi ya miamba hawa wawili Tanzania utachezwa Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo huku waamuzi wakitoka Morocco.
- Je kati ya Simba SC na Yanga SC, ni nani atatwaa ubingwa wa NBC baada ya hii mechi?
- Fuatilia nakala hii kufahamu kiundani dhidi ya Derby hii ya Kariakoo kutoka kwenye live score statistics, jedwali na habari mpya za NBC Premier League.
Mchezo wa Kariakoo Dabi baina ya Simba SC vs Yanga SC utapigwa Mei 3, 2026. Hii ni mechi itakayokutanisha miamba wawili wa NBC Premier League Tanzania na itachezwa Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo. Mchuano huu mkali utaongozwa na waamauzi kutoka nchi ya Morocco. Mshindi wa mchezo huu anapewa kipato kikubwa kutwaa ubingwa wa ligi ya bara. Fuatilia SportPesa Blog kupata taarifa kamili, ikiwemo matokeo, jedwali, ratiba, na takwimu za Kariakoo Dabi.
Je, wajua? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa
Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

Utabiri wa Kariakoo Dabi baina ya Simba SC vs Yanga SC

Tabiri mechi kati ya Simba SC vs Yanga SC live kwenye SportPesa.Utabiri wa mchuano huu haupo wazi kwa kuwa ni timu iliyo nafasi ya kwanza na pointi 47 huku mnyama akiwa wa pili na pointi 42 kwenye msimamo wa ligi kuu ya bara. Mchezo uliopita walipokutana matokeo ilienda sare 0-0 mzunguko wa kwanza.Itajulikana wazi nani ataibuka bingwa wa NBC Premier League baada ya mechi hii.
Simba SC vs Yanga SC H2H
Simba SC na Yanga SC wanapatana ana kwa ana mara mbili msimu huu.Mchezo wakwanza ulikuwa kwenye ligi na ule wa pili ni Muungano Cup. Kwenye mechi hizo mnyama alipata ushindi mara moja na wakitoshana nguvu mchezo mmoja.
| Tarehe | Mashindano | Matokeo |
| 5 Nov 2023 | Ligi Kuu Tanzania Bara | Simba 1–5 Yanga |
| 20 Apr 2024 | Ligi Kuu Tanzania Bara | Yanga 2–1 Simba |
| 8 Ago 2024 | Ngao ya Jamii (Community Shield) | Yanga 1–0 Simba |
| 19 Okt 2024 | Ligi Kuu Tanzania Bara | Simba 0–1 Yanga |
| 25 Jun 2025 | Ligi Kuu Tanzania Bara | Yanga 2–0 Simba |
| 1 Machi 2026 | Ligi Kuu Tanzania Bara | Yanga 0–0 Simba |
| 29 Apr 2026 | Kombe la Muungano (Fainali) | Simba 1–0 Yanga |
Waamuzi Waarabu wa Morocco Mei 3, 2026

Waamuzi kutoka Morocco watakuwa watasimamia Kariakoo Dabi, Mei 3,2026, Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo saa 12: 00 jioni. Karim Boimanda Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu ,(TPLB) amethibitisha hilo. Ameongeza kuwa uamuzi umezingatia kanuni za ligi.
“Waamuzi hawakuja kwa pendekezo la klabu kwa sababu kanuni inaruhusu. Kamati inapoona kuna umuhimu inaweza kutumia waamuzi wa ndani au nje kulingana na uamuzi wake,”.
Walioteuliwa ni Hamza El Fareq mwamuzi wa kati akisaidiwa na Lahsen Agaou, Hamza Massiri na Mustapha Kechaf wote kutoka Morocco. Tayari waamuzi hao wapo Dar. Mei 2, 2026 wamefanya mazoezi Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.

Viingilio mechi ya Simba SC vs Yanga SC na sold out mapema
Viingilio vya chini Mzunguko ni Tsh. 15,000, VIP B ni Tsh. 30,000 na VIP A ni Tsh. 50,000. Tayari wenyeji wametangaza sold out kwa mzunguko. VIP B na VIP A bado mashabiki wanaendelea kununua tiketi. Hii inatokana na ukubwa wa mchezo huo wa Kariakoo Dabi.
SOMA HII: Muungano Cup 2026 Man of The Match Simba SC vs Yanga SC | Matokeo, takwimu | SportPesa Blog
Hitimisho
Kariakoo Dabi baina ya Simba SC vs Yanga SC ni mchezo mkubwa kutokana na wababe kukutana. Mshindi wa mchezo anapewa nafasi ya kutwaa ubingwa. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa matokeo na taarifa zaidi.

