NUSU FAINALI ASFC- Je Dabi ya Simba na Yanga Kujirudia Fainali?
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefikia hatua ya nusu fainali ambazo zinahusisha vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara Azam FC, Simba SC, Yanga SC…
