SpacemanSpaceman Art

Leo tunakuletea moja kati ya michezo pendwa ambayo ni rahisi sana kucheza unaokwenda kwa jina la SPACEMAN. Mchezo huu unapatikana si kwingine bali katika kurasa ya tovuti yetu ya sportpesa.co.tz upande wa kasino.

Huu ni mmoja wa michezo rahisi sana kucheza, lakini ni mmoja wa michezo ambayo haitiliwi maanani na wachezaji pale wanapokutana nao kwa mara ya kwanza.

Hii inatokana na kwamba mchezo huu haukujazwa nakshi nakshi za kukuvutia kuutilia maanani, kama ambavyo michezo mingine imesanifiwa ki muonekano na ki muundo.

Maudhui ya mchezo hii ni sawa na yale ya wana anga wanaokwenda mwezini, ‘’astronauts’’  ikipewa taswira ya giza la usiku na nyota, sayari na mbalamwezi zinazoashiria uwanda wa anga la juu.

Baada ya kufungua mchezo huu mchezaji atapata fursa ya kuweka dau lake kwa kuchagua aidha dau dogo kabisa la kuanzia ambalo ni Tsh 20, 50 na kuendelea.

Kikubwa kama umeshawahi kucheza michezo Balloon Machine au mchezo wa Golden Hook utapata urahisi wa kuaelewa namna mchezo huu wa SPACEMAN unavyofanya kazi ama unavyochezwa.

Pale utakapokuwa tayari kuweka dau lako, ukabonyeza kuthibitisha na kisha kuanza kucheza mchezo huu, tegemea kukutana na vitu vifuatavyo.

Pale ambapo utabonyeza kitufe cha start ama ‘’anza’’ utaona mwana anga au SPACEMAN akifyatuka kuelekea juu kama ambavyo Space Shuttle ama ndege maalum ya kwenda angani au mwezini inavyofyatuka wakati inaanza safari.

Kutegemea na dau ulilothibitisha kulicheza pale SPACEMAN inapofyatuka kwenda juu basi utaona namba zinajiandika kwa kuongezeka ama kujizidisha ambapo kwa kitaalamu wanaita (Multiplier), kule mapaka pale ambapo kule kupaa kwenda juu kutagota ama itapata hitilafu na kuanguka.

UNAPATAJE FEDHA-SpaceMan

Pale ambapo mchezo unapoanza kutatokea alama mbili. Moja itakuwa kitufe kilichoandikwa CASHOUT na kitufe kingine kimeandikwa CASHOUT 50%. Kila moja kati ya alama hizi mbili itaanza kuhesabu na kutoa thamani ya malipo ambayo unapata kadiri SPACEMAN inavypanda juu.

Malipo hayo yataendelea kujizidisha mpaka pale ambapo utafika ukomo wa malipo au SPACEMAN itapata ajali na kuanguka.

NINI TOFAUTI YA KITUFE CHA CASHOUT NA CAHSOUT 50%

Kama nililivyotambulisha hapo awali mwanzoni kabisa mwa makala hii mchezo huu una njia nyepesi sana ya kukupa pesa wewe mchezaji.

Ikiwa umeanza kucheza mchezo huu, kwa maana umebonyeza START  na kidude cha SPACEMAN kimefyatuka kinapaa, wewe mchezaji una hiari ya kusubiria hatma yako mpaka mwisho ambapo malipo yatafika ukomo wa kawaida au mpaka pale ambapo SPACEMAN itapata ajali na kudondoka, hivyo kukoma kukulipa.

Malipo ya mchezo huu hayatumii mfumo wa bonus ama SCATTER kama ambavyo tumezoea kutoka katika michezo mingine. Malipo ya mchezo huu yanaanza mara tu SPACEMAN inavyofyatuka na kuanza kupaa.

Mchezaji anapata hela ama faida kwa kutumia moja kati ya hizo alama mbili yaani CASHOUT na CAHSOUT 50%.

Tunaanza na CASHOUT.

Pale ambapo mchezo umeanza na unaanza kukuhesabia kiwango cha pesa kinachoonekana kadiri SPACEMAN inavyopaa kama utachagua kutumia njia ya CASHOUT basi utapata malipo kwa thamani iliyokuwepo wakati unabofya kitufe cha CASHOUT na mzunguko wa mchezo husika utakuwa umeisha.

Njia ya pili ya malipo ni CASHOUT 50%

Kupitia njia hii mteja wetu wa SportPesa Casino ataweza kuchukua sehemu ya malipo ambayo yanapatikana na pia kuendelea na mchezo mpaka pale ukomo wa malipo utapofika au SPACEMAN itakapopata ajali na kukoma kupaa juu.

Kwa ufupi tofauti kati ya CASHOUT na CASHOUT 50% katika malipo ni kwamba CASHOUT itakupa malipo yako ya kiasi ulichoshinda na itakuondoa mchezoni moja kwa moja.

Lakini kwa CASHOUT 50% itakubakiza mchezoni ikimaanisha utaweka kibindoni nusu ya faida uluiyoipata kwa muda huo na kuendelea na kiasi kilichobakia katika awamu zingine za mchezo na una nafasi ya kuamua kama utakitumia kwa ajili ya mizunguko mingine yenye malipo ya juu zaidi.

ANGALIZO hapa ni kwamba kitendo au maamuzi ya kutumia fursa zote mbili katika kuchagua unufaike vipi na hizi CASHOUT ni unatakiwa iwe kabla SPACEMAN haijaanguka.

Na kitu muhimu zaidi cha kuzingatia ni kwamba SPACEMAN ikianguka kabla hujatoa pesa, maana yake madau yote yanakuwa yameliwa. Na kingine cha kuzingatia ni kama mchezo utapata ajali katika malipo ya X1, tafsiri yake ni wachezaji wote mtakosa fedha.

‘’If the Spaceman crashes before you have cashed out, you lose the bet. Key to note is if the game crashes at x1, everyone loses’’.

Ingawa katika michezo hii hakuna ushauri lakini kitu muhimu zaidi kama unatakiwa kufaidi fedha katika mchezo huu ni kwa kuvumilia kwa kusubiria muda mrefu zaidi ili SPACEMAN iende juu zaidi na kukupatia malipo makubwa kadiri inavyopaa.

Ingawaje michezo hii mara nyingi haifuati mfumo wa ushauri laikni cha muhimu ni kwamba kushinda zawadi nono za malipo katika mchezo husika itategemea zaidi bahati yako.

Na kwa muktadha huu  ndipo kinapokuja  kitufe cha malipo ya ‘’Auto Cashout’’.

Kipengele hiki kinakupa fursa ya kutathmini na kukufanyia maamuzi ya namna au wakati sahihi wa ku Cashout.

Kumalizia mchezo huu unaweza kukulipa malipo ya juu kuanzia X1000, X2000 mpaka X5000 ya dau lako. Ingawaje ili uweze kunufaika na malipo ya aina hii itakupasa uwe na roho ngumu ya uvumilivu, kama ambavyo wachezaji wa michezo ya machine (slot Machine players) wanavyovumilia kusubiria malipo ya bonus.

Natumai nitakuwa nimekupatia shauku kidogo ya kutaka kujaribu mchezo huu.

Ili kucheza tembelea sportpesa.co.tz chagua kitufe cha Kasino kisha angalia kitufe kilichoandikwa ‘’popular’’ na utaukuta mchezo huu katika kurasa hiyo.

Share this: