Mkazi Moshi alamba Sh. 6,069,063 Jackpot Bonus ya SportPesa
Unaweza kusema Peter James Maduhu ni mmoja wa watanzania wenye bahati ya mtende. Akiwa anajiandaa na msimu wa sikukuu Peter alimua kucheza Jackpot ya kati kati ya wiki ya SportPesa na kujishindia Jackpot bonus ya Sh 6,069,063, baada ya kupatia…