- Allan Okello wa Yanga SC amekuwa kiungo mshambuliaji matata kwa Yanga SC 2025/26 akifunga mabao 9 na kuasisti mabao 7.
- Okello kwenye mechi za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON), akiichezea Uganda ameweza kucheza mechi 3 na kuandikisha asisti 1, huku akisubiria kucheka na nyavu kwenye mechi zijazo.
- Kiungo huyu hodari alijiunga na Yanga SC kutoka timu ya Vipers FC ya Uganda.
- Je, Allan Okello ataendeleza kasi ya takwimu bora kwa kufunga mabao na asisti akiwa hapa Yanga SC?
Allan Okello ni kiungo mshambuliaji wa kimataifa kutoka Uganda na klabu ya Yanga SC. Mchezaji huyu mweledi ana umri wa miaka 25 tu, ambapo alizaliwa July 4, 2000. Anajulikana zaidi kwa umaarufu wake wa kutumia mguu wa kushoto na kupiga chenga hatari zinazowasumbua mabeki kwenye Ligi Kuu Bara. Ndani ya kikosi cha Yanga SC staa huyu anavaa jezi namba 20, akihudumu kwenye nafasi ya mshambuliaji.
| Kipengele | Taarifa |
|---|---|
| Jina | Allan Okello |
| Namba | 20 |
| Taifa | Uganda |
| Nafasi | Mshambuliaji |
| Klabu ya Sasa | Young Africans S.C. |
| Ligi | NBC Premier League 2025/2026 |
| Msimu | 2025/26 |
| Tarehe ya Kuzaliwa | 4 Julai 2000 |
| Umri | Miaka 25 |
| Magoli | 9 |
| Asisti | 7 |
Fuatilia habari za sasa za Allan Okello ikiwemo takwimu, mabao, taarifa zake za usajili na tathimini ya mechi zijazo kupitia SportPesa Blog.
Bado hujashinda? Cheza, ushinde na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Takwimu za Allan Okello
Takwimu za Allan Okello msimu huu zimekuwa za bashasha, ambapo amefanikiwa kuifungia Yanga SC mabao 9 na kuasisti mabao 7. Kwenye mechi za kitaifa akiichezea Uganda amefanikiwa kuasisti bao moja huku akiendelea kusaka rekodi ya bao.
Hili hapa jedwali la takwimu za Allan Okello;
| Kipengele | Takwimu |
|---|---|
| Asilimia ya pasi sahihi | 76.2% |
| Asilimia ya mipira mirefu sahihi | 71.4% |
| Asilimia ya krosi zilizofanikiwa | 30.0% |
| Asilimia ya ushindi wa duwa | 35.3% |
| Miguso ya mpira | 122 |
| Magoli | 9 |
| Assisti | 7 |
Jedwali lifuatalo linakuletea kwa ufupi takwimu za Okello kwenye Ligi Kuu NBC Premier 2025/26;
SIMA HII ZAIDI: Deal done Allan Okelo asaini miaka miwili Yanga SC/ Orodha ya wanaofuata
Hitimisho

Takwimu za Allan Okello msimu huu wa 2025/26 zinaonyesha kuwa kiungo huyu mshambuliaji wa Yanga SC atazidi kuwa tishio kwenye Ligi Kuu ya NBC.Huku vipaji mbalimbali vikichipuka kwenye soka la Tanzania, wafungaji bora wa msimu wanaongozwa na FeiToto mwenye mabao 12, Prince Dube (9), wakifuatiwa na Allan Okello kwenye nafasi ya tatu mwenye mabao 9. Kupitia SportPesa blog hapa tunakuandalia habari kemkem za wachezaji wote wa NBC Premier League, makocha na muhtasari wa ligi Kuu Bara.
SOMA HII PIA: Allan Okello mambo fresh Yanga SC/ Orodha ya wapya waliotambulishwa

