MANCHESTER KUIWEZA SEVILLA? -Ni Robo Fainali Kombe La Europa
MANCHESTER United kesho inaikaribisha timu ya Sevilla inayoshiriki Ligi kuu ya Uhispania katika mchezo wa ngwe ya kwanza ya robo fainali ya michuano ya ligi ya Europa, utakaochezwa katika Uwanja…
HUKU REAL MADRID VS CHELSEA KULE NAPOLI VS AC MILAN
Usiku mwingine wa Ulaya unachukua nafasi yake siku ya kesho kwa mchezo mwingine wa robo fainali ya kwanza ya kombe la klabu bingwa Ulaya, UEFA Champions League,ambapo mabingwa wa kihistoria,…
MANCHESTER CITY VS BAYERN MUNICH-Unampa nani ushindi?
Ukizungumzia mechi kali za mpira katika bara la Ulaya kwa siku ya kesho, basi uwezi kuacha kutaja mechi kati ya timu ya Manchester City dhidi ya Bayern Munich. Mechi ya…
SportPesa JACKPOT, Jitafute Utajipata!
‘’Jitafute Utajipata’’, ni usemi wa siku za hivi karibuni, ulioanza kuzoeleka katika jamii kubwa ya Watanzania, ukiwa na maana ya kuhamasisha watanzania kuendeleza mapambano ya kujitafutia riziki mpaka pale atakapofanikiwa.…
JE ARSENAL KUISAMBARATISHA LIVERPOOL
Kama wewe ni shabiki wa mpira, ama mpenzi wa mechi za ligi kuu ya Uingereza, EPL, basi utakuwa unajua nini kinaenda kutokea kesho pale katika uwanja wa Anfield. Timu ya…
DABI YA MOTO SCOTLAND- CELTIC VS RANGERS
DABI YA MOTO SCOTLAND- CELTIC VS RANGERS -Ni patashika nguo kuchanika Katika mwendelezo wa zile mechi kali kali za soka barani Ulaya kwa wiki hii, huwezi kuacha kuitaja mechi ya…
TIMU YA BENFICA KUENDELEZA UBABE KWA PORTO?
Klabu ya soka ya Benfica kesho wanawakaribisha timu ya Porto, katika mchezo wa ligi ya Primiera Liga, unaotarajiwa kuwa wa vuta ni kuvute kutokana na namna timu zote mbili zinavyohitaji…
HOT SAFARI-Kwangua Ushinde Casino!
Ikiwa ni wiki ya Pasaka, ambapo watanzania wanatarajiwa kuwa na mapumziko ya siku 4, leo tunawatambulisha mchezo mwingine wa Kasino unaopatikana katika tovuti yetu ya SportPesa, unaokwenda kwa jina la…
Barcelona VS Real Madrid-El Clásico ya kombe la Mfalme.
Ukiongelea mechi kubwa katika ulimwengu wa soka huwezi kuacha mechi ya Dabi ya El Clássico. Hii ni mechi inayokutanisha miamba wawili ya soka barani Ulaya, ambapo kila mmoja kwa wakati…
